Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,419
- 34,940
Ndoa imekushinda ??Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Ndoa imekushinda ??Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Yani nikisikiaga hizo habar naogopa sana 😑 naona wanaume ni watu hatari sana .Mtafute Joyce kiria au Master Jay wana uzoefu, Chukua talaka mapema yasije kutokea ya kimara(Mercy) au Geza Ulole(Gunia mbili za Mkaa).
Katika vitu ambavyo Mungu ameruhusu (in islam) na anakasirishwa nacho sana kikifanyika ni talaka! Fikiria mara mbili.... Personally nilienda BAKWATA na mbele ya mashahidi nikatamka FULANI BINT FULANI NIKIWA NA AKILI TIMAMU NATAMKA KUANZIA LEO WEWE SIO MKE WANGU NAKUACHA KWA TALAKA KADHAA baada ya hapo mke anaingia eda ya 3 month then kila mtu anakua free.
Capo Dei Capi
Ndoa imekushinda ??
Nini shida Masai? Jikaze dear ndo maana ya kuwa mamaNahisi nitadondoka muda wowote
Namuwazia tu mwanangu ndo maana napata nguv ya kuamka asubuh
Hivi mbona ndoa zimekuwa hivi?Pole Sana ila Kama ndoa Ni ya kidini lazima uanzie kwenye suluhu za dini.
Sielewi ndugu..inaogopesha lakiniHivi mbona ndoa zimekuwa hivi?
Mmh mi nimeogopa sanaSielewi ndugu..inaogopesha lakini
Ni kweli kuna mstari mwembamba sana kati ya upendo na hasira na hasira ikizidi inaweza kuzaa mauti.Yani nikisikiaga hizo habar naogopa sana 😑 naona wanaume ni watu hatari sana .
Na Ni hatari kweli akibadilika kukuua inawezekana vizuri tuYani nikisikiaga hizo habar naogopa sana 😑 naona wanaume ni watu hatari sana .
Pole Sana Kwa UnayoyapitiaNawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Pole SanaMawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Kipindi kile nakutongoza ukanipotezea, nilimuoa kwa niaba yako leo anamuomba Mungu atuongezee miaka ya kuishi ili azidi kuifaidi ndoa yake.Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Tuko the same boatMawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Embu ngoja kwanza ,yaan unaumia kisa hawahawa wanaume, ambao Mama wawatu ambaye Gari lake lilizama mto wami, licha yakuhangaika sana, wameishia kumuibia na kubakisha matairi??? Wanaume hao??Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Pole sana..una watoto?