Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Uko na akili yako na viungo vyote vimekamilika, mwanaume anakufukuza eti ondoka. Naondoka, sitaolewa tena na nitachapa kazi hadi ajute kuniacha. You girls be smart bana.
 
Hivi mbona watu mmekimbilia kumshauri huyu mwanamke aondoke kwake haraka as if kasema jamaa anataka kumuua??? Yani yeye hajasema tatizo ni nini mpaka afike hapo lakini mshamshauri afunje ndoaa... Ukute yeye ndo kimdomo domo na dharauu sasa badala kumwambia ajirekebishee mnakaa kushauri pumba tu hapaa.
 
Hivi mbona watu mmekimbilia kumshauri huyu mwanamke aondoke kwake haraka as if kasema jamaa anataka kumuua??? Yani yeye hajasema tatizo ni nini mpaka afike hapo lakini mshamshauri afunje ndoaa... Ukute yeye ndo kimdomo domo na dharauu sasa badala kumwambia ajirekebishee mnakaa kushauri pumba tu hapaa.
Fuatilia visa mkuu. Jamaa yake na fala. Nami namshauri atembee tu.
 
Sema mapenzi mapuuzi sana....kesho/kutwa atakuja hapa na mahug na makisses wameyamaliza...

Sasa sijui tutajikarantini au vipi!??
 
Pole mkuu.

Mimi sitofautiani na waliotangulia ila nitoe ushauri kidogo ama kusisitiza.

1. Ondoka haraka hapo unapoishi, process zako zote kuanzia baraza la usuluhishi ni lazima usiwe unaishi na huyo mtu.

2. Uendapo katika Baraza la usuluhishi hakikisha kuwa unapambana haswa, ikiwezekana hata vurugu, yaani wao Baraza wasitoke na suluhisho la ninyi kuwatenganisha ila watoke na suluhisho la ninyi kwenda mahakamani kwa kuwapa barua.

Kwanini nasema hivi, Baraza wanatazama huu mgogoro wenu ni wa ngapi, mshawahi kuwekwa chini na kupatanishwa, ukubwa wa mgogoro n.k

Baraza endapo likaona vurugu ni kubwa huwa siku hiyo hiyo wanatoa barua ili iende mahakamani na kwa bahati mbaya baraza la usuluhishi wanasheria hawaruhusiwi, hata kama una ndugu hawaongea chochote kile, wazungumzaji ni ninyi tu.
Anaondoka anaenda wapi? eleza sababu za kuvunja ndoa haya mambo bila kujua pande zote 2 ni tatizo.

Unajua watu wakishaingia ndani ya ndoa ndio tunajuana rangi zetu harithi,tukijenga na kupata watoto hapo hatari.

Kiburi,dharau,majegambo nk vyote huja....
 
Take your kid and run..Divorce itafatia but now quickly pack your stuff and go. Waafrica kuna ile dhana eti kuvumiliana hakunaga hio kuvumiliana huwezi kuishi kwa maumivu na mtu anaekuumiza na kukukandamiza huyo sio wa kuishi nae maisha tumepewa zawadi na Mungu hakuna mwenye right ya kukuumiza mwishowe utapata madhara zaidi.
Pole dada!
Je level za familia kapita
? kuna mshenga kuna ndugu zake nk....haya mambo sio marahisi kama mnavyowaza msibase sana kwa mtoa mada mkaona anaonewa sana
 
Back
Top Bottom