ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,726
- 127,672
Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Msije kuuana humo ndani, walioshauri uondoke wana uzoefu. Talaka haiji kabla ya separation, mnatengana kwanza then mnaanza process za kuachana rasmi. Naogopa msije kugawana maeneo, mmoja kwa mola mwingine mjengoni.