Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Nenda ofisi za ustawi wa jamii michakato yote utapewa.

Nb ; Hakikisha unahama kabisa nyumbani maana umeingia kwenye Vita lolote linaweza kutokea Nina uzoefu na hizi kazi. Kama kweli umeamua talaka usikubali maridhiano yoyote ofisi za ustawi. Kumbuka ofisi za ustawi ndio hukupa barua ya kuvunja ndoa kwenda mahakamani.

Sema uko mkoa gani nikupe namba za afisa ustawi wa huo mkoa amalize shughuli msije kuuana humo ndani
 
Tafuta ndugu kwanza wa kwenu wakushauri kutengana sio sawa wala suluhu
 
Take your kid and run..Divorce itafatia but now quickly pack your stuff and go. Waafrica kuna ile dhana eti kuvumiliana hakunaga hio kuvumiliana huwezi kuishi kwa maumivu na mtu anaekuumiza na kukukandamiza huyo sio wa kuishi nae maisha tumepewa zawadi na Mungu hakuna mwenye right ya kukuumiza mwishowe utapata madhara zaidi.
Pole dada!
 
Jesus..!!
 
Japo mi sijaona kubwa la kukufanya uvunje ndoa.

Yaani umeshindwa kabisaa kukubaliana na wanavyoishi mumeo na nduguze? Umeshindwa kabisaa kufuata aina ya maisha yao?

Au Kuna mengine zaidi ya yale?

Talaka si nzuri sana kitu cha kukimbilia, watoto huteseka sana.

Hapo ukubali kutunza mtoto mwenyewe, usitegemee kupata matunzo toka kwa babake kirahisi.

Kama Kuna Mali mlichuma basi mtauza hii itawarudisha nyuma kimaendeleo.
Habari yake ikoje...!!!??

Nashindwa la kusema hapa.
 
Katika vitu ambavyo Mungu ameruhusu (in islam) na anakasirishwa nacho sana kikifanyika ni talaka! Fikiria mara mbili.... Personally nilienda BAKWATA na mbele ya mashahidi nikatamka FULANI BINT FULANI NIKIWA NA AKILI TIMAMU NATAMKA KUANZIA LEO WEWE SIO MKE WANGU NAKUACHA KWA TALAKA KADHAA baada ya hapo mke anaingia eda ya 3 month then kila mtu anakua free.

Capo Dei Capi
 
Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
 
Mshauri wa wewe hivi wewe ni single?

Kama upo single nakutaka tuyajenge wala sitakuumiza hata kidogo
Take your kid and run..Divorce itafatia but now quickly pack your stuff and go. Waafrica kuna ile dhana eti kuvumiliana hakunaga hio kuvumiliana huwezi kuishi kwa maumivu na mtu anaekuumiza na kukukandamiza huyo sio wa kuishi nae maisha tumepewa zawadi na Mungu hakuna mwenye right ya kukuumiza mwishowe utapata madhara zaidi.
Pole dada!
 
Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Pole sana.

Mungu akupiganie.

Watakuja wajuzi kukushauri.
 
255715301241_status_ac5ca6e840234975aeb5d7784f5f16fc.jpg
 
Story za upande mmoja huwa mara nyingi ni za kutafuta huruma!

Ninachojua ndoa ina mambo mengi na wanandoa wana mengi!

Hakuna mtakatifu ndio maana kuvumiliana ni nguzo muhimu ya ndoa!

Kuyaleta maisha yako binafsi kuja kuamuliwa mtandaoni kunaonyesha kuwa haukupaswa hata kuwa kwenye ndoa!

Think big, take control of your destiny!
 
Back
Top Bottom