Ramtz Jr
JF-Expert Member
- Jun 18, 2026
- 269
- 529
Naombeni ushauri wenu wa mawazo wakuu mara kadhaa nimekuja humu kuomba ushauri na msaada kwa yeyote anaejua dawa ya kutibu vidonda vya tumbo lakini haikusaidia dawa nilitumia mno Ila sasa nahisi kukata tamaa ya kuishi mana kifua kinasumbua balaa hosptal wala hakionekani
Wakuu niliwahi kufungua uzi humu kuomba mwenye chochote..,lakini sijapata chochote zaidi ya kebehi na matusi wakuu naombeni msaada wenu wa kimawazo mana siwezi kufanya kazi ya aina yeyote
MSAADA WENU WA MAWAZO WAKUU:
Mwenye swali aulize wakuu msihofu..!