Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Hiyo pointi ya mwisho daah, ndoa hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Pole rafiki, na hongera sikuwa najua kama ulishaolewa.

Kiukweli sijaona andishi lako la awali kwamba kipi hasa kinakufanya uhitaji talaka, hata hivyo ni wewe ndie muhusika mkuu unajua yanayokusibu humo

Lakini kubwa, umeangalia faida na hasara za nyie kutengana?

Umewaza jinsi mtoto atakosa malezi na upendo wa upande mmoja?

Umewaza jinsi utakavyopata sonona ya nafsi mara mtoto anapohitaji upendo wa baba au lah wewe utakapokwama kumuhudumia ikawa shida kwa mtoto?

Unajua kulea mbalimbali matatizo yake ikiwemo baadhi ya wanaume kususia kuhudumia?

Si kwamba nakwambia usihitaji talaka ila ni vema pia uangalie faida na hasara. Kama faida ya kupata talaka ni kubwa kuliko hasara basi endelea na mchakato.

Ikiwa kinyume chake , vumilia, hakuna ndoa rahisi, sio ndoa tu ila hakuna jamii inayocheka kila siku, maumivu yanatukomaza, ndoa wakati mwingine inahitaji mmoja ajifanye mjinga ili maisha yaendelee

Ndoa inahitaji kujitoa, ndoa ni kama vyombo vikichafuka vinaoshwa vinatumiwa tena hatuvitupi kwa kuwa ni vichafu.

Hivyo rafiki, tulia utafakari, na mwisho kabisa sisi tutashauri chochote tunachojisikia ila hayo ni maisha yako peke yako, sisi ukifanikiwa hatupo wala ukifeli hatupo, kazi yetu ni kusema pole na hongera baaasiii.

Nakutakia kila la kheir, na Mungu akusimamie ufanye maamuzi yaliyo sahihi kwa maisha yako na mwanao
 
Muda siyo mrefu tutaanza kukuona tena kwa wingi JF!
 
Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna

Aibu ipi kubwa ya kusababisha talalaka!?
1. Kazaa nje ya ndoa!? Hili la kawaida.
2. Kazaa na mdogo wako au kambaka!? Hili labda.
3. Mlevi hadi anajikojolea na kujinyea mtaani au kitandani!? Hapana linarekebishika.
3. Hawajali ndugu,Wazazi wako!? Linarekebishika.
4. Hakujali,hana mda na wewe,Anakuona kama dada yake,hataki kufanya mapenzi na wewe!?? Labda hili.
5. Umemfumania mara nyingi na michepuko na habadiliki!? Hili pia gumu kuvumilika.
6. Anakubaka, anakuingilia kinyume na maumbile !? Hili pia zito..
7. Kafilisi miradi mliyoanzisha kwa kuwaonga malaya!? Hili pia gumu.
8. Hajali familia,hanunui chakula,havishi watoto,halipi ada!?
9. Ni mshirikina!? Mwizi!? Jambazi!?
10. Au ana KIBA MIA!!?

Aibu ipi,.. Em tueleze.
 
Pole rafiki, na hongera sikuwa najua kama ulishaolewa.

Kiukweli sijaona andishi lako la awali kwamba kipi hasa kinakufanya uhitaji talaka, hata hivyo ni wewe ndie muhusika mkuu unajua yanayokusibu humo

Lakini kubwa, umeangalia faida na hasara za nyie kutengana?

Umewaza jinsi mtoto atakosa malezi na upendo wa upande mmoja?

Umewaza jinsi utakavyopata sonona ya nafsi mara mtoto anapohitaji upendo wa baba au lah wewe utakapokwama kumuhudumia ikawa shida kwa mtoto?

Unajua kulea mbalimbali matatizo yake ikiwemo baadhi ya wanaume kususia kuhudumia?

Si kwamba nakwambia usihitaji talaka ila ni vema pia uangalie faida na hasara. Kama faida ya kupata talaka ni kubwa kuliko hasara basi endelea na mchakato.

Ikiwa kinyume chake , vumilia, hakuna ndoa rahisi, sio ndoa tu ila hakuna jamii inayocheka kila siku, maumivu yanatukomaza, ndoa wakati mwingine inahitaji mmoja ajifanye mjinga ili maisha yaendelee

Ndoa inahitaji kujitoa, ndoa ni kama vyombo vikichafuka vinaoshwa vinatumiwa tena hatuvitupi kwa kuwa ni vichafu.

Hivyo rafiki, tulia utafakari, na mwisho kabisa sisi tutashauri chochote tunachojisikia ila hayo ni maisha yako peke yako, sisi ukifanikiwa hatupo wala ukifeli hatupo, kazi yetu ni kusema pole na hongera baaasiii.

Nakutakia kila la kheir, na Mungu akusimamie ufanye maamuzi yaliyo sahihi kwa maisha yako na mwanao
Well Stated.
 
kabla ya kwenda mahakamani lazima mpitie kwenye mabaraza ya usuluhishi yanayopatikana makanisani, misikitini, au ustawi wa jamii.

Huko mtapewa cheti konesha kuwa usuluhishi umeshindikana.

Mtaenda mahakamani kuvunja ndoa, kugawana mali na malezi ya mtoto/watoto.

Sababu za kuvunja ndoa.

1. Ukatili.
2. Zinaa.
3. Kushindwa kutoa tendo la ndoa.
4. Kutengwa kwa muda mrefu.
ect.

Mahakama haitavunja ndoa bila kwanza kupitia hatua za usuluhishi.

Ndoa ikishavunjwa mtapata hati rasmi ambayo mtasajili Rita.

Tafuta wakili akuongoze.
Number 4,muda usiopungua miaka 3...
 
Huoni kama ni jeuri tu fulani..anayetegemea mitandao kutatua matatizo ya ndoa yake.

Tizama anavyopewa jeuri na wachangiaji hapo juu. Akila panga tutakutana hapa kusema RIP RIP RIP.

Kumbe moto tumeuchochea sisi.

Wacha tuone.
Una mtoto kweli au wewe mgumba unataka afe kwenye ndoa iliyokufa upendo hamna, na wewe utamshauri binti yako avumilie shida wallah kuomba ushauri?
Umenisikitisha sana
 
Japo mi sijaona kubwa la kukufanya uvunje ndoa.

Yaani umeshindwa kabisaa kukubaliana na wanavyoishi mumeo na nduguze? Umeshindwa kabisaa kufuata aina ya maisha yao?

Au Kuna mengine zaidi ya yale?

Talaka si nzuri sana kitu cha kukimbilia, watoto huteseka sana.

Hapo ukubali kutunza mtoto mwenyewe, usitegemee kupata matunzo toka kwa babake kirahisi.

Kama Kuna Mali mlichuma basi mtauza hii itawarudisha nyuma kimaendeleo.
Case ya huyu ni ya long time Sana ajitenge naye kwanza kwa mda hata miezi sita au mwaka hivi?
 
Kwa kiswahili ili wengi tuelewe[emoji1]
JamiiForums-778391260.jpg
 
Muda mwingine huna namna
Kuna muda unatamani hata kumsimamisha mpita njia umwambie
Ningumu kwenda kanisan ama kwa wazazi ni ngumu mno kumwambia mchungaji mume wangu ananunua malaya insta above all
Ni ngum kusema anataka mlango wa uwani
Ni ngum kusema kwa jiran mumeo ankufokea mbele ya wadogo zake.

Muda mwingine ahueni unayopata humu ni kubwa kuliko aibu ya nje.
Ni faraja kubwa sana
Hakuna jambo linatokea bila ya sababu
Inawezekana wewe ukawa sababu ya mume kuwa hivyo kwa kujua au kutokujua!?
 
Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Una mpendaje asiye kujali huyo kashakuharibu akili ndio maana huoni bila yeye you can't survive, kuwa makini jipe furaha mwenyewe kuwa busy na Mambo yako ukiendelea kujiliza gunia la mkaa linakuhusu.
Na Kama unampenda acha kuomba talaka vumilia mateso yake hafu wanaume hatukuumbiwa kupenda.
Yani wewe unavo mpenda kuliko yeye anaona kero ndo anadhidi kukuchukia zaidi,
Jaribu kukaa miezi kadhaa pekee yenu mjitafakari mnataka Nini hasa?
 
Kwa kiswahili ili wengi tuelewe[emoji1]View attachment 1486617
Shoga angu aliwahi kunambia matatizo yake analia Lia kweli basi nikamshauri amua moyoni mwako kipi Bora kwake na ajifunze kufurahi bila ntu, kesho yake jamaa kakubembeleza acha anigeuzie kibao Mimi ni mubaya na sio huyo mwanaume, mafumbo ka yote eti hawaachani, nikasema langu jicho, Ila jamaa akaendeleza tabia mbovu Sasa hivi wameachana kabisa. Mwanamke haachani mtu mpaka ajeruiwe au auwawe aisee
 
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Ni bora hivyo kuliko kuuana, pole sana kwa unayopitia mkuu japo process yake itakufanya ukonde na huenda kukata tamaa ila maamuzi unayotaka kufanya kama umejiridhisha go ahead. Naamini kabla ya hapo umepitia njia nyingi za usuluhishi bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom