Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

CDM kila siku watu muhimu wanaikimbia..
utasikia chadema iko imara wakati watu muhimu wanaondoka halafu hakuna wanaoingia
Wabunge wengi wa chadema wanatimukia vyama vingine lakini chenyewe hakipokei!!! CHADEMA kwisha habari yake
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.

Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.

View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo​

Tabasamu la kinafiki!
 
Thus takukuru waliikataa ile clip yake ya ushahidi walijua ni mwenzao,
Hapa ni kikao cha kumaliziwa advance yake ya kuzugia kwenda mahakamani kupinga kuvuliwa ubunge, chadema walishajua thus awakuhangaika nae.
 
Attachments

  • FB_IMG_1594206301018.jpg
    FB_IMG_1594206301018.jpg
    62.2 KB · Views: 2
Arusha sahau hilo, uje kuniprove wrong uchaguzi ukiisha! sasa kama mna ham msipate hata hio kura moja tenda muwekeni membe cdm, rudieni ule ule utopololo wenu wa lowasa, ccm hawarudii tena kosa baada ya magu kumaliza mda wake
Wewe kweli JUHA , Lowassa ndiye aliyefanya mpaka Ukawa ikapata wabunge wengi sana 2015 ,Lowassa ndiye aliyefanya CDM ikapata Kura zaidi ya 6m+ na hivyo kuongeza Boom na Special seats kamwe faida hizo hauwezi kusema ni UTOPOLO, Wewe Mlamba viatu hauujui Mziki wa Lowassa ,anayejua Mziki wa Lowassa ni Lubuva,Jecha na JPM na ndio maana Msajili wa vyama kaja na sheria mpya inayokataza vyama kuungana,unajua kwanini? Ukipata jibu nenda kapupu ukalale!!
 
utasikia chadema iko imara wakati watu muhimu wanaondoka halafu hakuna wanaoingia
Wabunge wengi wa chadema wanatimukia vyama vingine lakini chenyewe hakipokei!!! CHADEMA kwisha habari yake

Nassari ana umuhimu gani kwa Chadema? Toka avuliwe ubunge hatujamsikia. Na baada ya hii taarifa atapotea tena. Ataweza kuibuka wakati wa uchaguzi akipigia kampeni chama chake kipya na kukisaidia kupambana na chama chake cha awali.

Amandla...
 
Nasaruu ni mfano wa vijana wapumbavu wa nchi hii!! wakati vijana kwa mamilioni wakiteseka na njaa na ukosefu wa ajira yeye akapata ajira kubwa nchi hii inayolipa ya ubunge!! akaidharau akapuuza kuhudhuria vikao wakamtupia virago!

bahati haiji mara mbili!! huyu amekwisha habari yake!! hana mvuto tena hana maajabu!!

kwanza alipata demu wa kizungu aliempenda sana eti lilivyo jinga likamtosa kwa kujaa kiburi cha ubunge pumbavu kabisa huyu kijana!!

Acha wivu
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.

Amesema kuwa haikuwa kazi rahisi hata kidogo kufanya hayo maamuzi na akasema kuwa amekwenda Chama Cha Mapinduzi mchana kweupena si usiku kwa sababu moja tu, anachokifanya na alichokuwa anafanya ni swala lililowazi lenye mwanga na la kuelekeza.

Amesema kuwa hakwenda kuzunguza na wao kwa kuwa wamevaa kijani labda kuna kitu anataka hapana ila ni kwa sababu anaipenda nchi yake amesema angeamua kubaki huko duniani atengeneze pesa au kuitunza familia yake na afanye kazi akiwa huko duniani, wamsome kwenye magezati ya kimaaifa akiwa huko angeweza.

Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.

View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo​

kwani bado alikuwa Chadema huyu?

au ndiyo yale ya Bernard Membe kutupa kadi ya CCM ilihali alushafukuzwa longi?
 
Anatoka mtu CCM mnampa ticket ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mnawaacha wanachama wenu waliokitengeneza chama mpaka hapo kilipofikia, mtu anahamia leo kesho mnampa aipeperushe bendera ya chama kwenye mbio za Urais, mtu hata chama hakijui
.....tukisema CDM na MAGENGE ya upinzani ni utopolo mixer undwanye,mnatutukana,😂😂😂
 
kwani bado alikuwa Chadema huyu?

au ndiyo yale ya Bernard Membe kutupa kadi ya CCM ilihali alushafukuzwa longi?

Kumbukumbu sahihi kuhusu mh.Membe...aliandika barua kwa katibu mkuu....na pia akarudisha kadi yake ofisi za CCM hapo Londo.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.

Amesema kuwa haikuwa kazi rahisi hata kidogo kufanya hayo maamuzi na akasema kuwa amekwenda Chama Cha Mapinduzi mchana kweupena si usiku kwa sababu moja tu, anachokifanya na alichokuwa anafanya ni swala lililowazi lenye mwanga na la kuelekeza.

Amesema kuwa hakwenda kuzunguza na wao kwa kuwa wamevaa kijani labda kuna kitu anataka hapana ila ni kwa sababu anaipenda nchi yake amesema angeamua kubaki huko duniani atengeneze pesa au kuitunza familia yake na afanye kazi akiwa huko duniani, wamsome kwenye magezati ya kimaaifa akiwa huko angeweza.

Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.

View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo​

Jamaa mpumbavu sana huyu aisee! He is inept with no principles at all. None whatsoever!
 
chadema wameshavunja dole la mwisho wamebakiza dole la kati...

CCM oyeeeeee
 
Back
Top Bottom