Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu umekuwa ukifanywa mara kwa mara kwa wananchi wanaotuhumiwa makosa mbalimbali. Watu walioapa kuilinda Katiba kwa mbwembwe na vigelegele wamekuwa wa kwanza kuvunja Katiba hiyo bila kujali (with impunity).
Ibara hii ya 13 inahitaji kufundishwa kwenye vyuo vyote vya mambo ya usalama. Na wananchi wanapokamatwa kutuhumiwa lolote wajue haki zao ndani ya ibara hii. Nafafanua.
View: https://youtu.be/j81uAK8K_-U?si=vR8jIqMY_YSPgNyu