Sijusikia bado wimbo huu... Nashuhudia mabishano tu.
Hebu toa umburula wako hapa.Wewe trace tu ndio unayoiona ya maana.Mafanikio hayaji kama upepo, lazima yaanzie huku home (kama mkito ) ambako amevunja rekodi.Mengine yatafuata tu taratiiibu.
Mizaa ipi?
Walemavu wa ngozi ndo jina sahii?
Nieleweshwe hapo
Chekecha chekechua.
Sisikii unaigeria wala ukwaito kwenye hii ngoma,naitabiria makubwa kuliko mwana.
Kwa Simple analysis utagundua, Upande wa Pili/ Team wanaigeria wa bongo wameupenda Wimbo huu na kujikuta hawana cha kukosoa. Sasa chuki zao zoote wameziamishia kwenye beat ya wimbo.
bc 2mpendelee 1/2 wknadhani apo kwenye muda nawe umechemka ni wiki 1 na 1/2 itakula kwake
kakwambia anashindana na dimond we vipi kwa hiyo kiba aache muziki kisa daimondtrack mbovu tu hiyo. Na wala haina level ya nyimbo za diamond. Atasubiri sana boya huyo. Kiba ni sawa na maviya mbwa
Ila Kiba ni nyooo... Maana kashusha mwana, kaja kimasomaso, kaja na wife wa dunia, halafu kuna kitu kinaitwa pesa ni nyoko. Heh! Mara chekecha cheketua, hapa kuna kundi ambalo suruali na bukta zao walizozivaa zina m.a.v.i now