ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Kwenye hii mnaita bongofleva alikiba ameitendea haki Sana kuna nyimbo Kama hii ya mwana
Alikiba
Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Ndani ya Dar es Salaame Ulikuja bure
Tena kimwana kimwana hujui Kuchuna
Nazile lawama za wale waliokuzoweza
Ulikuja jana na leo tofauti sana...
Tena Bora yule wa Jana, wa leo tofauti sana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Tena Bora yule wa Jana, wa Jana leo wa Jana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee [x2]
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee [x2]
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
Ndani ya Dar es Salaam mambo mataam Hayakukuisha
We bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifuata huku pata, umekosa ulivyoacha
Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyo vitaka, nivingi ulivyoacha
Mbona unjitesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee [x2]
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee yaya mamee [x2]
Mashairi mazuri sauti nzuri
Na Kuna wimbo wa Mac muga mchizi Mac muga hii pia naizimikia Sana
Na Kuna zipo nyingi akishirikishwa anafanya vizuri Sana kweli nineshaamini Ni msanii mkubwa anajua.tumpe nafasi Kama aliyonayo diamond na ye afanye makubwa