matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Warioba (TID) Katoa wimbo na naziz umekaa hewani cku 4 ausikiki tena apo lazima moyo uume
TID kakalishwa na Hemed PHD last week akilinganisha status yake iliyopita na ya Leo katka jamii roho inamuuma kukalishwa na PHD !!
Inasemekana TID kaitwa Kidela unafikiri ataacha kuponda?
Wapi uko alikomkalisha Mnyama?? Acha kubuni vitu mkuu ata kama ni mahaba kwa mtu dah hii kali...TID ni mteja ndio ila pamoja na hayo Hemed mpaka kesho hawezi kusimama popote na TID alafu akamfunika...We wa wapi!?