Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Na tutaendelea kumpima kwa kipimo kilekile ambacho alitaka apimiwe ( v chibu)
Huwa si comment ila napendaga kusoma comments za watu..ila za kwako hta cku moja cjawahi kuona zenye kujenga..yaan huwa nahic km vle unaishi kwa dhiki au unaroho ya kimaskini..ww utakuwa unapenda kuish ka diamond au maisha flan ya kifahar ya kujionesha sema tu ndo huwez kuwa..sidhan km huwa unapma ubora wa nyimbo ila unafananisha maisha na vile umaarufu wa mtu labda kuvuka mipaka...na hiyo km ndo crdt bac hakuna km xplastaz,a.y.....jifunze kuchambua nyimbo ubora..kuna madogo wapo wanaotoa nyimbo kali kushinda huyo diamond au ally kiba sema hiyo nafac wamekosa ila hatuwez sema wajui..
 
Kaishiwa wake mzuri upo wapi ,kasahulika anatafuta promo aandikwe walau siku mbili tatu, asisahau kulipia na gharama za promo, waliibuka wengi wa aina hiyo kwa diamond huyu mara kaibiwa bit mara kaibiwa mistari yaani ilikuwa shida , hatimaye wote kimya
 
If the song ain't all that then why all this negative energy?

It's amazing how a song that's evidently not all that can resurrect even the has-beens and make them crawl out of the woodwork to come and dismiss it.

Indeed, amazing is an understatement here!!
 
Kabla ya kumshindanisha alikiba na mtu mwingine nadhani tungeanza kumshindanisha yeye kama yeye.ukifanya hivyo utagundua kuwa alikiba wa zamani ni mtamu kuliko wa sasa.

Hizi team zinazoundwa siku hizi zinachangia kuwajaza ujinga wasanii wetu.Mtu akiwa team fulani yuko ladhi kutetea kitu hata kama anakiona hakiko sawa.

Kwa mtazamo wangu wimbo wa kiba ni wa kawaida sana.Naamini anauwezo wa kufanya zaidi ya hiki alichofanya.
 
wadau naomba kujuzwa mwanamziki ally kiba yupo wapi kwa sasa na anajishughulisha na nini?jamaa alikuwa ni mtaalam sana katika kuimba na sauti yake ilikuwa kivutio kikubwa sana kwa wanaomsikiliza.kuna jamaa nahisi anajaribu kwa mbali kuiga sauti yake lakini bado hajamfikia Ally Kiba wa "mapenzi yana run dunia".huyu jamaa anaemuiga hatumuelewi anatuimbia "Mwanadar es salaam" na na juzi hapa katoa nyimbo inaitwa sijui "chakachua chetua" ah hata sizielewi nyimbo zenyewe.wadau naomba kujuzwa.karibuni
 
sijaelewa labda kwasababu tuna msiba wa taifa letu mtu wetu,mdaiwa wetu sugu marehemu capt Komba RIP
 
wadau naomba kujuzwa mwanamziki ally kiba yupo wapi kwa sasa na anajishughulisha na nini?jamaa alikuwa ni mtaalam sana katika kuimba na sauti yake ilikuwa kivutio kikubwa sana kwa wanaomsikiliza.kuna jamaa nahisi anajaribu kwa mbali kuiga sauti yake lakini bado hajamfikia Ally Kiba wa "mapenzi yana run dunia".huyu jamaa anaemuiga hatumuelewi anatuimbia "Mwanadar es salaam" na na juzi hapa katoa nyimbo inaitwa sijui "chakachua chetua" ah hata sizielewi nyimbo zenyewe.wadau naomba kujuzwa.karibuni

wewe si ndo punga walokutoa mkuku kule MMU?..issa ramadhan
 
Hivi hii tabia ya kuita watu watamu mbona inataka kuwa sugu??, tuache kuharibu kiswahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom