Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,628
- 5,261
kibaaaaa
Hautakaa upatie kamwe, Njoo Hyatt hapa nipo namsapoti rafiki yetu Doreen ana tukio...Ukifika niPM unione.hahaahaaaa romy ssalaam nakuona
kama wimbo mzuri tutaona fedha anazoingiza si kelele
Mtu huyi(alikiba) hata aingize mabilioni haji kiwatangazia hivo kamwe hutojua wimbo huu utamuingizia sh.ngapi..
Na hivi ndivyo mwanaume anavotakiwa kuishi,na sio ukinunua tu Iphone6 lazma utangaze..
Huu wimbo wamesample beat ya wimbo wa matonya (unanimaliza). Na wameongezea vitu vichache
Sema ni kikugeuze princess sema nini unataka
Namuunga mkono TID, wimbo wa kawaida sana... Nachopingana nae ni muda alioupa, big g kama hizi mimi uwa nazipa wiki tatu hii ikienda sana wiki 5.
Nyimbo ya kawaida sanaaa sema inapewa promooo ila haitafika mbali kama ile video yetu ya south africa
wimbo wa kawaida xn,hauwez ishi muda mrefu
kiba umezoea kuimba hadithi/ riwaya/ visa mf cinderela,makmuga,mwana,chekecha
biti ya chekecha xaw na mwana na iliyopita b4 mwana
kinachokubeba n bifu n mond
bt dc song umefany kawaida,bt watu hawatak kukubal hilo
omba clouds waendelee kukupa prom km leo kwny xxl cjui kwa kuwa ulichangia damu
inabidi uwe creative aina ya mziki wako ushatuchosha
nadhani apo kwenye muda nawe umechemka ni wiki 1 na 1/2 itakula kwake