Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Daa hiyo ngomaa nimeielewa sanaaa...sizan kama kunamtu atatokea kuidiiss hiyo nyimbo coz jamaa kaonyeshaa uwezo jinsigani mziki watanzania unatakiwa uweee
Atakaye idiiss hiyo ngomaa atakaua amepoteza driver flani kwenye akili yakee nahiloo sishangaii..

Hahahaaa, ngoja niisikilizie tena.Leo nimefurahi sana...ahsante Kiba.
 
Nyimbo ni ya ally au producer?


producer anaown beat coz yy ndo analitengeneza(composer) msanii anaweza akauziwa beat moja kwa moja hapa producer ametransfer ownership au akaingia tu makubaliano na msanii alitumie ktk wimbo wake na hyo haimzuii producer kulitumia beat hlo ktk nymbo nyngne. So kama beat la wimbo huo lmefanyiwa sampling then kosa c la alikiba coz yy hana utalam wa kutengeneza beat na ukute hajui kama hlo beat lshatumika. Ila ukwel nyimbo iko juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom