Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Mgeni sasa ameingiaaa,mgeni,mgeniii...bonge la songi,full ujumbe kwa jamii..sio hao wabana pua wenu....R.I.P...Komba.
 
Siku diamond alipotoa wimbo wa teaser nilikuja hapa jf na kusema wimbo wa hovyo kabisa ukiulinganisha na jina la msanii husika japo alifanya video nzuri sana.

Naomba nichukue nafasi hii kusema hata wimbo wa Allikiba ni wa hovyo. Sio wimbo wa hadhi yake. Tatizo la hawa wasanii ni TeamMandazi zinazoshabikia upuuzi wao lakini kusema ukweli wameisha wala msitarajie mafanikio yao zaidi ya hapa walipofikia. Hapa kilichobaki ni kusubiri kuona wanavyoanza kuporomoka.
 
hakika jamaa kawacheketua haswaa!!
 
Kitaa hapa ni kuchekecha tu!!Ahsante sana Kiba,,Maigizo waachie wenyewe we piga kazi.
 
Wimbo kusema ukweli ni wa kawaida hautadumu no hisia Haaaaaaaaaaaaaaaaah shikamoo daimond huo wimbo nani atakao uludia kuufanyq kama nyimbo za daimond kizaizai, ukimwona! Hiyo nyimbo hata ikipigwa mtoto atikisi kichwa, ipigwe sasa namba one hadi watoto wanaamka, au NTAMPATA WAPI lazima utikise angalau mguu, KIBAKA ATASUBILI SANA
Sema nini unataka???Haya "chekecha chekechaaa chekechaaaa cheketua" sema nini unataka???
 
wadau naomba kujuzwa mwanamziki ally kiba yupo wapi kwa sasa na anajishughulisha na nini?jamaa alikuwa ni mtaalam sana katika kuimba na sauti yake ilikuwa kivutio kikubwa sana kwa wanaomsikiliza.kuna jamaa nahisi anajaribu kwa mbali kuiga sauti yake lakini bado hajamfikia Ally Kiba wa "mapenzi yana run dunia".huyu jamaa anaemuiga hatumuelewi anatuimbia "Mwanadar es salaam" na na juzi hapa katoa nyimbo inaitwa sijui "chakachua chetua" ah hata sizielewi nyimbo zenyewe.wadau naomba kujuzwa.karibuni

Sema nini unataka???Haya............
 
Huwa si comment ila napendaga kusoma comments za watu..ila za kwako hta cku moja cjawahi kuona zenye kujenga..yaan huwa nahic km vle unaishi kwa dhiki au unaroho ya kimaskini..ww utakuwa unapenda kuish ka diamond au maisha flan ya kifahar ya kujionesha sema tu ndo huwez kuwa..sidhan km huwa unapma ubora wa nyimbo ila unafananisha maisha na vile umaarufu wa mtu labda kuvuka mipaka...na hiyo km ndo crdt bac hakuna km xplastaz,a.y.....jifunze kuchambua nyimbo ubora..kuna madogo wapo wanaotoa nyimbo kali kushinda huyo diamond au ally kiba sema hiyo nafac wamekosa ila hatuwez sema wajui..

Well said mkuu nashangaa watu wanasema domo ndiye kavuka nje xblastars ,ay,na Yule dd wa wakilisha watu walivuka kitaamboo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom