Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

T.I.D Mnyama aliupa miezi mitatu tu utakuwa ushachuja, ajabu hata miezi miwili haikufika ushapotea
 
Ha haa haaa
Watu hadi wamevuta viti wamekaa wanasubiria video

Safari hii video kwa hanscana, maana yeye si huwa anafuata yule mwenzake anachofanya!
 
Tehe tehe, kende upo sahihi. Namshauri aandae video kali ili iibebe wimbo ambao tayari haupo. Kiba kaa mbali na choo hukawii kurekodia huko. Tupe video kali tukupongeze
 
Tehe tehe, kende upo sahihi. Namshauri aandae video kali ili iibebe wimbo ambao tayari haupo. Kiba kaa mbali na choo hukawii kurekodia huko. Tupe video kali tukupongeze

Aliyeanzisha hii thread aliianzisha kwa mbwembwe ila cha ajabu katoweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom