Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Hata hiyo mwana ilianza kwa kasi kuliko hii,matunda yake yapo wapi??show anazopata sio kwa ajili ya nyimbo bt kwa ajili ya bifu sema show zenyewe pia bado haba.abadilike aache stress,atafute management nzuri ya kueleweka naamuni uwezo bado anao
 
Kwenye ukweli tuseme bhna kwel wimbo hauna lolote hauna chochote, atahonga media uchezwe lakn hautovuka mipaka,, nenda kenya/uganda mwez ujao usikie kama utakuwa unachezwa kule... Tofaut na mtt wa tandale wimbo wake jana umeshika namba moja ktk top ten za trace musc.... Huyu jamaaa akunabal tu keshakuwa level za kina matonya,mb dogy na wengneo afanye mzik wa aina hyo bas
 
Wimbo ni mzuri kiasi chake,
Tatizo Kiba alikuja kushindana na Chibu hivyo kila atakacho fanya watu wataangalia je ni level za Chibu?

Kiukweli huu wimbo haujafikia level hizo kabisaa

Madam Kiba angekuja kama kiba nahakika huu wimbo ungeangaliwa kwa jicho la kawaida na ungeoneka mzuri lakini sasa watu wamejengewa matarajio makubwa kufunika mafaniko ya chibu
 
Ally kiiba mnasema anaimba vzr,kama ni kawaida yake kwann akiimba mnakuwa hamuamini,kama ni yeye kaimba?!??,mim nadhani kama,anaimba vzr basi fikeni hatua ikubalini hali hio,ba msiwe mnashangaa kn,kwamba hamkutegemea,mnamshushia hadhi yake
 
Wachawi wapo wa namna nyingi, warukao na ungo usiku na wale wanaosotea mat.ak.o vibarazani.Cheke cheketua ndo habari ya mjini.Mnamfananisha Kiba na huyo mtt wa tandale kwa kuwa mioyoni mwenu mnajua kabisa Kiba ndo kiboko ya Huyo serengetiboi wa Zari.
 
Mi nadhan kaimba vizur lakini sio mzuri kama watu mnavyotaka ijulikane!

Kwani kaongelea nini kwenye huo wimbo cha maana haswa? Hakuna ujumbe mzito sana sema kwenye tone, na instrumental zimekaa kuvutia kuskiliza but hakuna theme kwenye wimbo wenyewe.

Labda TID amekosea tu namna ya kulisemea hili, lakini kweli ni wimbo wa kawaida sana ukilinganisha na nyimbo nyingine alizowahi kuimba Alikiba, sema ndio hivyo kipya kinyemi ingawa kidonda.

Alichokisema TID, ni mtazamo wake na wewe toa wa kwako!
 
Kiboko

Ukisema ukweli utatukanwa weeee, lakini nilivyokuomba vizuri tuseme anaeona ni mzuri abaki kuamin hivo, na anaeona ni wa kawaida nae aamini hivo!!
 
Last edited by a moderator:
Na tutaendelea kumpima kwa kipimo kilekile ambacho alitaka apimiwe ( v chibu)
 
Mi nadhan kaimba vzur lakini sio mzuri kama watu mnavyotaka ijulikane,
Kwani kaongelea nini kwenye huo wimbo cha maana haswa?,hakna ujumbe mzito sana sema kwenye tone,na istrumental zimekaa kuvutia kuskikiza but hakna theme kwenye wimbo wenyewe,
Labda TID amekosea tu namna ya kulisemea hili lkn kweli ni wimbo wa kawaida sana ukilinganisha na nyimbo nyingine alizowahi kuimba Akiba,sema ndio hivyo kipya kinyemi ingawa kidonda,alichokisema TID,ni mtazamo wake na wewe toa wa kwako

Mkuu,wimbo wa Mwana una ujumbe mzito lqkin mlijifanya hamuelewi na hamkutoa credit kwa ujumbe uliopo mule..
Sasa kaamua kuimba mapenzi mnasema wimbo hauna ujumbe..

Tuanzie hapa,wimbo wa Kitorondo una ujumbe gani.?
 
nimemuelewa Sana mkongwe warioba......Warioba ni mtu aliyekuw kwenye hii industry kwa miaka mingi hivyo basi naamini kuna kitu atakuwa amekion hapa kwama huu wimbo ni wa kawaida sana sema promo tu
 
Mkuu,wimbo wa Mwana una ujumbe mzito lqkin mlijifanya hamuelewi na hamkutoa credit kwa ujumbe uliopo mule..
Sasa kaamua kuimba mapenzi mnasema wimbo hauna ujumbe..

Tuanzie hapa,wimbo wa Kitorondo una ujumbe gani.?

Kitorondo ndo wimbo gani ati??
 
nimemuelewa Sana mkongwe warioba......Warioba ni mtu aliyekuw kwenye hii industry kwa miaka mingi hivyo basi naamini kuna kitu atakuwa amekion hapa kwama huu wimbo ni wa kawaida sana sema promo tu

Warioba (TID) Katoa wimbo na naziz umekaa hewani cku 4 ausikiki tena apo lazima moyo uume

TID kakalishwa na Hemed PHD last week akilinganisha status yake iliyopita na ya Leo katka jamii roho inamuuma kukalishwa na PHD !!

Inasemekana TID kaitwa Kidela unafikiri ataacha kuponda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom