The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Leo lawama zote zitakuja kwangu...kwanza The secretary nakushauri unyamaze coz kilichokufanya umwambie Remmy simtaki kisa nakupenda nani? We nilikuwa nawewe ili nijapatie walau vijicent ulivyokwapua kwa Bishanga thats why nshakutua pwaaaaaaaa km pishi la mchele niko najiandaa kuhamishia mapenzi kwa Madame B ili ruttashobolwa aonje tamu ya kuchongachonga mdomo. NUKTA.
Mi maishani huwa sibwagwi huwa nawatua pwaaa mi wee hata sijawahi fikiria kumuacha Bishanga Remmy kajiingiza gozigozi kwako
Last edited by a moderator: