Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Ya majirani bado hawajafika???.....mie nilikwambia niko mbali na mjini.....hapa ndio natafuta chopa nilikodi nije chapu!

Yaani uwahi tu maana hakuna awezae ziba pengo lako....nilikuwa na Filipo kaondoka just now
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaaaaaa
Vipi Kama akisema ndio?

Nani aseme ndio?????.....mwanaume wa kulishwa mie akuuuu.....hapo anatamani kweli niseme ndio lol
Remmy mie sina hela za kumuhonga!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom