Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Ni kweli wapo wengi ila bado ananipenda mimi.....tehe!

Anajua anachokikosa kwangu kwa sasa lol.....na hawezi kukipata kwa mwingine!

Haya nambie ile pete ya jana ilipata mvaaji?

mmhh hebu nijuze kidogo kitu gani hicho hawezi kukipata kwingine?

Ile pete imekosa mvaaji wanahofia vidole vyao vitakatika si uliona ilivyokuwa uzito tu robo kilo.
 
mmhh hebu nijuze kidogo kitu gani hicho hawezi kukipata kwingine?

Ile pete imekosa mvaaji wanahofia vidole vyao vitakatika si uliona ilivyokuwa uzito tu robo kilo.


Hahahaha nilijua tu lazima mvaaji akosekane lol

Hicho kitu muulize nitonye atakwambia!
 
Last edited by a moderator:
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu
Heheheheee we nipe lawama tu ila kilichokufanya umwache mkeo bila kumpa haki ya ndoa mwezi mzima nani? Ndo ujifunze...acha wanaojua kutunza wawape raha ladies! Pole sana nitonye na hongera Vin disiel
 
Last edited by a moderator:
Halafu Erickb52 ni sharo fulani hivi anawatesa sana wazee kwa vijana wa chit chat mi hanipati hata kwa kuuza matikiti hawa vijana wa Arachuga tabu tupu hebu ona Arushaone anavyoruka vihunzi
Leo lawama zote zitakuja kwangu...kwanza The secretary nakushauri unyamaze coz kilichokufanya umwambie Remmy simtaki kisa nakupenda nani? We nilikuwa nawewe ili nijapatie walau vijicent ulivyokwapua kwa Bishanga thats why nshakutua pwaaaaaaaa km pishi la mchele niko najiandaa kuhamishia mapenzi kwa Madame B ili ruttashobolwa aonje tamu ya kuchongachonga mdomo. NUKTA.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mnashoboka na masharo wa Arachuga watawatenda mbofu we Bishanga alisema anaanza kukupenda mbona hujamfatilia dawa ni kushoboka na vibabu japokuwa havijatulia

Hujajibu SWALI LANGU. Wewe. Nawe ulimkubalia Huyo unaemwita sharobaro. Bishanga kasema upendo wake unazidi kukua nami sifanyi ajizi, nalipiza kisasi, ukila vya wenzako ujue na vyako vitaliwa kauli toka kwa mh raisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom