Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Yaani anatapatapa utadhani kanyweshwa sumu lol!

Alijisemea Bishanga kuwa mwaka huu Erickb52 ataula wa chuya!

Ilikuwaje na wewe ukamsikiliza Vin Diesel na maneno yake ya uongo na wewe ukamwamini huku akisaidiwa na Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwaje na wewe ukamsikiliza Vin Diesel na maneno yake ya uongo na wewe ukamwamini huku akisaidiwa na Erickb52

Sasa mbona una hasira hivyo???

Ukitabasamu kidogo ndio ntakujibu swali lako!
 
Heheheheee we nipe lawama tu ila kilichokufanya umwache mkeo bila kumpa haki ya ndoa mwezi mzima nani? Ndo ujifunze...acha wanaojua kutunza wawape raha ladies! Pole sana nitonye na hongera Vin disiel

mambo Erickb52? Yaani badala ya kumpa matumaini x shem ndio wazidi kumponda?
nitonye kacheki abiria wa leo, waweza kubahatisha mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Halafu Erickb52 ni sharo fulani hivi anawatesa sana wazee kwa vijana wa chit chat mi hanipati hata kwa kuuza matikiti hawa vijana wa Arachuga tabu tupu hebu ona Arushaone anavyoruka vihunzi

The SecretaryWaniita
 
SL iscaught between a rock and a hard place,kushoto penzi la kweli la nitts kulia dushelele size 12 la Vin Diesel.

Allah Wakbar! Bishanga hii makitu ulishuhudia live au umeambiewa.. sweetlady come zis way ni kweli anachosema bepari la kihaya? Afu eti umemwota Remmy? Mbona nipo naye sema siye twaenda mdogo mdogo kanisani leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom