Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Niliposema muwe mnapitia kwenye kamati kuhusu hayo mahusiano yenu niliona mbali na nilijua shit happens,wengi wenu mkawa wabishi matokeo yake ndo haya,hakuna nidhamu wala woga,mnaumizana umizana tu!! So sad! Erickb52 nimeskia umetajwa kuhusika kuvunja ndoa ya nitonye na sweetlady,ndo majukumu nilokukabidhi hayo? Nahitaji majibu au la nafasi yako itakwenta kwa Mtalingolo
 
Last edited by a moderator:
sis ndo nilitaka kushangaa, wakati me siku zote namtambua Vin Diesel ndo shem wangu wa ukwee!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hata mie nilisikitika sana SL kukumwaga, ama kweli wanawake hawana muamana.

Nimekuona ukanikumbusha enzi zile na mie bado 'virgin' hapa jamvini ndio nahangaika na baba watoto lol

hivi akirudi utampokea?? Ila mke mtamu jamani.

Hawezi kuacha kunipokea......hana jeuri hiyo

Sema mie sina mpango wa kurudi lol......alintesa vya kutosha Kongosho.......we uliona wapi mwanaume anasafiri miezi 6 tena bila kuaga?.....akirudi utasikia Oooh wife am sorry shetani kanipitia! Akuuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Niliposema muwe mnapitia kwenye kamati kuhusu hayo mahusiano yenu niliona mbali na nilijua shit happens,wengi wenu mkawa wabishi matokeo yake ndo haya,hakuna nidhamu wala woga,mnaumizana umizana tu!! So sad! Erickb52 nimeskia umetajwa kuhusika kuvunja ndoa ya nitonye na sweetlady,ndo majukumu nilokukabidhi hayo? Nahitaji majibu au la nafasi yako itakwenta kwa Mtalingolo

Mwondoe tu Baba V hata kabla hajakuletea hayo majibu! Afu mwulize nitonye alikuwa wapi siku zote?
 
Last edited by a moderator:
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu

Mie pia nikilupenda sana nitonye ila ndio kama alivyosema kakako Bishanga kuwa mahusiano yetu Mungu kayapenda zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kuacha kunipokea......hana jeuri hiyo

Sema mie sina mpango wa kurudi lol......alintesa vya kutosha Kongosho.......we uliona wapi mwanaume anasafiri miezi 6 tena bila kuaga?.....akirudi utasikia Oooh wife am sorry shetani kanipitia! Akuuuuuu!

Shetani alimpitia au yeye ndio alimpitia shetani...ashindwe kijana huyu
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kuacha kunipokea......hana jeuri hiyo

Sema mie sina mpango wa kurudi lol......alintesa vya kutosha Kongosho.......we uliona wapi mwanaume anasafiri miezi 6 tena bila kuaga?.....akirudi utasikia Oooh wife am sorry shetani kanipitia! Akuuuuuu!

Unajua jinsi gani nilivyokuwa nahangaika huku na kule ili kuhakikisha familia yetu inakuwa bora na mtoto wetu anapata maisha bora. Najua haikuwa akili yako bali ni watu wabaya waliokuwa wanatuzunguka.
 
Last edited by a moderator:
chagua ingine kama imekuzingua si unaona warembo wapo wengi...

Ni kweli wapo wengi ila bado ananipenda mimi.....tehe!

Anajua anachokikosa kwangu kwa sasa lol.....na hawezi kukipata kwa mwingine!

Haya nambie ile pete ya jana ilipata mvaaji?
 
Unajua jinsi gani nilivyokuwa nahangaika huku na kule ili kuhakikisha familia yetu inakuwa bora na mtoto wetu anapata maisha bora. Najua haikuwa akili yako bali ni watu wabaya waliokuwa wanatuzunguka.

Babu yako Bishanga anajua mie kuwa na sweetlady ni mpango wa Mungu...soma post yake ya kwanza hapo...hebu amka unawe uso
 
Last edited by a moderator:
Unajua jinsi gani nilivyokuwa nahangaika huku na kule ili kuhakikisha familia yetu inakuwa bora na mtoto wetu anapata maisha bora. Najua haikuwa akili yako bali ni watu wabaya waliokuwa wanatuzunguka.

Kwenye hao watu wabaya Bishanga ni namba moja......hapa anakuzuga tu mdogo wake!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom