Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

nitts,at last umefunguka,ndugu yangu i fought for you,angani,baharini,nchi kavu kote nilipambana kulinda mahusiano yako na SL,hakika mahusiano hayo tulipenda yadumu lakini Mungu aliyapenda zaidi.
Ushauri wa bure:
Tulia,relax,jitie hamnazo,iko siku SL atakuangukia we mwache tu hamjui Vin Diesel,mtesaji sana wa wanawake yule.
 
Last edited by a moderator:

Kaka mimi natulizana acha yeye aendelee na muhuni wa kariakoo
 
Last edited by a moderator:
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu

pole sana my shem, ngoja akija toka sokoni ntamwambia kilio chako
sis sweetlady ni nini umemfanya my shem?????
 
Last edited by a moderator:
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu

So many fish in the sea, why mess with one that's already been caughted??
 
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu

Halafu Erickb52 ni sharo fulani hivi anawatesa sana wazee kwa vijana wa chit chat mi hanipati hata kwa kuuza matikiti hawa vijana wa Arachuga tabu tupu hebu ona Arushaone anavyoruka vihunzi
 
Sijui huyu SL alihadaika vipi maana nilimpa kila kitu, kwenda kubeba maboksi ndio imekuwa taabu?
 
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu

Bahati mbaya sweetlady yupo mmoja na hakuna mwingine zaidi ya huyu nilie nae....pole sana kijana nakushauri ukubali matokeo tu.
Sina msaada wowote kwako kwenye hili
Na kwa taarifa yako na kwa wambea kama Bishanga.. Vin Diesel na sweetlady ni mpaka kwa Mungu hatuachani
 
Last edited by a moderator:
nitts,at last umefunguka,ndugu yangu i fought for you,angani,baharini,nchi kavu kote nilipambana kulinda mahusiano yako na SL,hakika mahusiano hayo tulipenda yadumu lakini Mungu aliyapenda zaidi.
Ushauri wa bure:
Tulia,relax,jitie hamnazo,iko siku SL atakuangukia we mwache tu hamjui Vin Diesel,mtesaji sana wa wanawake yule.

We babu mbona unanichafua kisiasa jukwaani hapa....mie nimekuwa mtesi wa wanawake tangu lini? Nira yangu ni laini sana ndio maana imempendeza sweetlady awe nami...
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya sweetlady yupo mmoja na hakuna mwingine zaidi ya huyu nilie nae....pole sana kijana nakushauri ukubali matokeo tu.
Sina msaada wowote kwako kwenye hili
Na kwa taarifa yako na kwa wambea kama Bishanga.. Vin Diesel na sweetlady ni mpaka kwa Mungu hatuachani

Ila usimzuie kuja kuangalia mtoto wangu mtoto bado anahitaji malezi ya mama yake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom