Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Heheheheee we nipe lawama tu ila kilichokufanya umwache mkeo bila kumpa haki ya ndoa mwezi mzima nani? Ndo ujifunze...acha wanaojua kutunza wawape raha ladies! Pole sana nitonye na hongera Vin disiel

Nilimpa haki ya ndoa karibu kila siku tena dozi matata, yaani ulaghai huu umetokea wapi
 
Last edited by a moderator:
Leo lawama zote zitakuja kwangu...kwanza The secretary nakushauri unyamaze coz kilichokufanya umwambie Remmy simtaki kisa nakupenda nani? We nilikuwa nawewe ili nijapatie walau vijicent ulivyokwapua kwa Bishanga thats why nshakutua pwaaaaaaaa km pishi la mchele niko najiandaa kuhamishia mapenzi kwa Madame B ili ruttashobolwa aonje tamu ya kuchongachonga mdomo. NUKTA.

Kumwagwa bwana!
Heheeeeeee eti ulifuata pesa...
We mwanaume wa shoka kweli?
Au ndio sizitaki mbichi hizi.
 
Ukubali ukatae haya ni maneno yako ya mkosaji!...... The secretary yuko juu manake kakumwaga mchana kweupe!..... Remmy njoo umsome Erickb52!
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu SWALI LANGU. Wewe. Nawe ulimkubalia Huyo unaemwita sharobaro. Bishanga kasema upendo wake unazidi kukua nami sifanyi ajizi, nalipiza kisasi, ukila vya wenzako ujue na vyako vitaliwa kauli toka kwa mh raisi.

Mwambie mpenz halafu yeye ndo alinifanya nkakutosa kwa muda...mpe vidonge vyake na hata hvyo hana jipya umemzidi mbali katika kujenga hoja...mwambie im single bt occupied
 
Kumwagwa bwana!
Heheeeeeee eti ulifuata pesa...
We mwanaume wa shoka kweli?
Au ndio sizitaki mbichi hizi.

Heheehehhe chezeiya kubwagwa weye lol

Mwanaume gani wa shoka anafuata hela kwa mwanamke?

Aibu asee!
 
Mwambie mpenz halafu yeye ndo alinifanya nkakutosa kwa muda...mpe vidonge vyake na hata hvyo hana jipya umemzidi mbali katika kujenga hoja...mwambie im single bt occupied

Ha ha ha ahahaahh eti mpenzi????.....tapeli kweli wewe !
 
Mwambie mpenz halafu yeye ndo alinifanya nkakutosa kwa muda...mpe vidonge vyake na hata hvyo hana jipya umemzidi mbali katika kujenga hoja...mwambie im single bt occupied

Hahahaaaaaaaa.....!
Wala usijifanye kujipendekeza hapa, harudi mtu hapa
Hapa breki kwa pedeshee nami nikafanye shopping Dubai.
 
Hahahaaaaaaaa.....!
Wala usijifanye kujipendekeza hapa, harudi mtu hapa
Hapa breki kwa pedeshee nami nikafanye shopping Dubai.

He he heheheh mwanamke msimamo mama.....safi sana!
 
Kumwagwa bwana!
Heheeeeeee eti ulifuata pesa...
We mwanaume wa shoka kweli?
Au ndio sizitaki mbichi hizi.

Hata uwe na mke mzur bila pesa maisha hayanogi...kupata pesa kwahitaji akili meeen
 
Back
Top Bottom