Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 386
- 517
Kwenye maridhiano hatuendi na misimamo, it's obvious Lissu kumuomba aonane na Rais Samia lkn ni vigumu Rais Samia KUOMBA kuonana na Lissu, kwenye diplomasia hivi ndivyo ilivyo mdogo kulegeza misimamo ili kupata maridhiano.Lissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu 🤣
Cc Jasusi
Katika maridhiano pande zote mbili zinakubali kupoteza jambo fulani na kupata jambo fulani, loss-win situation. Haduendi na shingo ngumu, na ndiyo maana inakuwa vigumu kumaliza mizozo mingi kusini mwa Afrika sababu kila moja anataka msimamo wake uwe. Fuatilia mzozo wa Russia na Ukraine