SWALI: Tundu Lisu ilikuwaje ukiwa Ubelgiji ukamuomba Rais Samia amfutie kesi Mbowe? Ulitumia kifungu gani kama Mwanasheria?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA alinukuliwa akisema alimwambia Rais Samia alipomtembelea kule Ubelgiji CHADEMA na CCM watafanyaje mazungumzo ilhali Mwenyekiti Mbowe ameshtakiwa isivyo halali?

Lissu akasema, Rais aliahidi atamtoa na aliporudi Tanzania baada ya ziara Mbowe akaachiwa.

Nimemsikia Tundu Lissu akitamba Serikali kuwafutia Kesi ilikuwa inawahonga Ili wanyamaze?

Kumbe ni wao wenyewe ndio walikuwa wanaomba Serikalini na siyo mahakamani wafutiwe Kesi.

Hata Mwigullu PhD alisema pale Moshi kwamba shemeji yake Lema alimuomba amfanyie wepesi Ili arudi nyumbani.

Sasa swali langu ndio lile kwenye heading 😃

Shujaa Magufuli: Watanzania siyo Wajinga.
 
Bwashee, wewe ushawahi kubambikiziwa kesi ya UONGO, au unazisikia tu kwa wengine?!
Kila mtu anajua ile Kesi ilikuwa ya mchongo ila hiyo haimaanishi Tundu Lisu atumie mbinu za mchongo kumtoa wakati Mfumo wa kisheria upo 😄
 
Tundu Antipas Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema alinukuriwa akisema alimwambia Rais Samia alipomtembelea kule Ubelgiji Chadema na CCM watafanyaje mazungumzo ilhali mwenyekiti Mbowe ameshtakiwa isivyo halali?

Lisu akasema, Rais aliahidi atamtoa na aliporudi Tanzania Baada ya Ziara Mbowe akaachiwa

Nimemsikia Tundu Lisu akitamba Serikali kuwafutia Kesi ilikuwa inawahonga Ili wanyamaze?

Kumbe ni Wao wenyewe ndio walikuwa wanaomba Serikalini na siyo mahakamani wafutiwe Kesi

Hata Mwigullu PhD alisema pale Moshi kwamba shemeji yake Lema alimuomba amfanyie wepesi Ili arudi nyumbani

Sasa swali Langu ndio lile kwenye heading 😃

Shujaa Magufuli: Watanzania siyo Wajinga
Kwanza hata uheshimiwa wowote huyo tapeli
 
Jiwe limerushwa gizani.
Aliyepiga unyende katokea kichakani....
 
Ile kesi ilikuwa kesi ya kubambakiza kama ilivyokuwa kesi nyingine!
hakukuwa na hata tone la ugaidi ndio maana hata Nchi za wenzetu walitushangaa!
Hata mtoto mdogo mwenye ufahamu alijua wazi kuwa ile kesi ni ya kubambikiza!
Tatizo la mahakama zetu (kama mhimili) iwe mahakimu au majaji huwa wanapangiwa hukumu na "wahusika"
 
Back
Top Bottom