UTU wa MTU ni bora kuliko kitu chochote,ila wewe unaudhalilisha wako.Kesi ya Mh.Mbowe na wenzake ilimalizika rasmi pale Mawakili wa Serikali walivyobwaga manyanga tarehe 15 kabla hatujawasikia karibia nusu ya mashahidi wao,wametia mpira kwapani baada ya kusoma mwelekeo siyo.Mara mashahidi wanaanza kuwatetea watuhumiwa na kuhara kila wawapo kizimbani.Chezea Kibatala wewe?!MBOWE NI GAIDI NA KESI IMESHAMKALIA VIBAYA LISSU KESHAKUBALI YAISHE MAMA AMTOE KESHO MTASIKIA
CCM acheni kujitekenya na kujilazimisha kucheka kwa mambo yasiyochekesha.Mliambiwa kuwa Mh Mbowe siyo gaidi mkashupaza shingo na sasa mnamwachia huru mpende msipende.Mna hasira na CDM na Mbowe hadi mnaugua.
Tunauwasha moto wa Katiba Mpya kikamilifu,kikosi kamili kitakuwa uwanjani.