Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Jua, Mwezi , nyota, Dunia, Bahari n.k ni katika alama zinazoonesha uwepo wa Mwenyezi MUNGU. Misikiti mingine zimewekwa alama hizo na misikiti mingine haina kabisa alama hizo
 
Usiongee usiyoyajua. Hiyo alama ilikuwa adopted wakati wa Ottoman Empire na haihusiani chochote na uislam. Uislam ni kuabudu Mungu mmoja pekee aliyeumba mbingu na ardhi hana watoto, wajomba wala wajukuu, hajazaa wala kuzaliwa.

Imekuwa common place watu kuiga hii design mpaka sasa waliowengi (hata baadhi ya waislam wenyewe) wanadhani na sign ya uislam iliopo toka kipindi cha Mtume Muhammad (Rehma na Amani zimshukie juu yake) lakini hapana. Katafute kitabu chochote cha hadith (statement ya Mtume S.A.W) unitafutie hata invented hadith inayosema nyota na mwezi na alama ya uislam halafu niletee.

Ndio maana mpaka leo bendera ya uturuki ina the same symbol ya nyote na mwezi from the Ottomans, wengi wanadhani waturuki wamecopy from Islam but its actually vice versa and many scholars don't recommend hata iwepo maana kuna watu watafikiri kama unavyofikiri wewe

I hope umeelewa
Umejibu kwa utulivu na usahihi Sana. Hongera
 
4103820712_cb6440ff56.jpg
mosque-architecture-oriental-half-moon-crescent-sun-mood-dusk-twilight-BWK9PX.jpg
Usiombe uwakute na madera yao wanaikashifu rozari!
 
Wasamehe tu maana hawajui hata vya imani yao. Nashukuru uzi huu umeweza kuwafahamisha watu Allah ni Mungu wa Kipagani wa waarab hata kabla ya Mohamed mwenye akili na aelewe.
Ni sawa na kusema alama za barabarani zinaabudiwa.Alama ya nyota na mwezi,kwa waliopitia shule,wanajuwa wazi,zimebuniwa na wasomi wa jiografia,ili kuonesha maeneo ya msikiti katika ramani.
Ukimuona mtu,anauliza kuhusu alama hizo,ujuwe :
1: Shule kenda somea ujinga.
2.Au alikimbia umande,hakumaliza shule.
 
Na hii inamaanisha nn
c2f4dce1435fd950e7ae794ab13768d4.jpg
[emoji22]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Na hii inamaanisha nn
c2f4dce1435fd950e7ae794ab13768d4.jpg
[emoji22]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Kuwa na symbol or sign haku nullify your belief. Perceptions do.
 
Wasamehe tu maana hawajui hata vya imani yao. Nashukuru uzi huu umeweza kuwafahamisha watu Allah ni Mungu wa Kipagani wa waarab hata kabla ya Mohamed mwenye akili na aelewe.
Nyie endeleeni kuabudu mwanasesere tu ila mtakuja kulia na kusaga meno siku ya mwisho
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Thibitisha madai yako.
Zungumza kisomi
 
1528: Taking the crescent as a symbol

What is the symbolism behind the Muslim star and crescent? I did a keyword search of your site and searched my library's reference books and cannot find anything more than a reference to the flag of the Ottoman Empire. Thank you for your interest.

Published Date: 1998-10-18

Praise be to Allaah.

There is no basis in sharee’ah for taking the crescent or star as a symbol of the Muslims. This was not known at the time of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or at the time of the Khulafa’ al-Raashidoon (the first four leaders of Islam after the death of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or during the time of the Umawis (Umayyad dynasty). It emerged some time after that, and historians differ as to when this symbol was first adopted and who was the first to adopt it. Some say it was the Persians, others say it was the Greeks, and that this symbol was somehow passed to the Muslims. (See Al-Taraateeb al-Idaariyah by al-Kittaani, 1/320). It was said that the reason why the Muslims adopted the crescent was that when they conquered some western countries, the churches there had crosses on top of them, the Muslims replaced the crosses with these crescents, and the practice spread in this way. Whatever the case, symbols and banners must be in accordance with the teachings of Islam, and as there is no evidence that this symbol is prescribed by Islam, it is better not to use it. Neither the crescent nor the star are symbols of the Muslims, even though some Muslims may use them as symbols.

As regards what Muslims think about the moon and the stars, they believe that they are part of the creation of Allaah, and as such can neither benefit nor harm people, and they do not have any influence over events on earth. Allaah has created them for the benefit of mankind, an example of which is seen in the aayah or verse of the Qur’aan (interpretation of the meaning):

“They ask you (O Muhammad) about the new moons. Say: These are signs to mark fixed periods of time for mankind and for the pilgrimage…” [al-Baqarah 2:189]

[The commentator] Ibn Katheer said, explaining the phrase Say: these are signs to mark fixed periods of time: “From them (the new moons) they may know the times for repaying loans, the ‘iddah (waiting period) of their women [after being divorced or widowed] and the timing of their Hajj (pilgrimage)… Allaah has made them signs to mark the times when Muslims should start to fast and break their fast [the beginning and end of Ramadaan], to count the ‘iddah of their women and to know the times for repaying loans.” (Tafseer Ibn Katheer).

[Another commentator] Al-Qurtubi (may Allaah have mercy on him) said in his commentary on this aayah [verse]: “This explains the wisdom behind the waxing and waning of the moon, which is to avoid any confusion in appointed dates, dealings, oaths, Hajj, ‘iddah, fasting, breaking fasts, length of pregnancy, rentals and other matters that concern mankind. Similar to this aayah are others (interpretation of the meanings):

‘And We have appointed the night and the day as two aayaat (signs). Then, We have made dark the sign of the night while We have made the sign of day illuminating, that you may seek bounty from your Lord, and that you may know the number of the years and the reckoning…” [al-Isra’ 17:12]

‘It is He Who made the sun a shining thing and the moon as a light and measured out its (their) stages, that you might know the number of years and the reckoning…’ [Yoonus 10:5]

Counting the new moons is easier than counting days.” (See Tafseer al-Qurtubi).

With regard to the stars, the scholars of Islam say that Allaah created these stars for three reasons: to adorn the heavens, to drive away the devils (shayaateen) and as signs for navigation. (Saheeh al-Bukhaari, Kitaab Bad’ al-Khalq), as Allaah says (interpretation of the meaning):

“It is He Who has set the stars for you, so that you may guide your course with their help through the darkness of the land and the sea…” [al-An’aam 6:97]

“And indeed We have adorned the nearest heaven with lamps, and We have made such lamps (as) missiles to drive away the shayaateen (devils), and have prepared for them the torment of the blazing Fire.” [al-Mulk 67:5]
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Nyoka wa shaba kule jangwani. Kwahiyo Mwezi ni mfano wa Mungu? Zaidi ya Musa nani mwingine amemwona Mungu hata waweze kumchora au kumchonga kwa sanamu?
 
Muislam wa kweli kuja jamii forum kubishana na walevi wa dini na siasa ni upumbavu mkubwa maana hutopata suluhu zaidi kufedheheshana tu, na imeelezwa makafili watawafanyieni sana vitimbi. Amini dini yako acha na mimi niamini yangu ndio maana hata hatufanani kila mtu na sura yake umezaliwa peke yako utakufa peke yako nawasilisha Wabillah Tawfiq
Dini ni kitu hatari Sana Kama mapokeo yatakuwa hivi.Usichoke kujifunza na kutafta ukweli,ukristo na uislam vyote ni vigeni kwetu waafrika.Usikumbatie kilichokuja kutoka kwa wenzetu ukikutana na hoja Mpya fuatilia jifunze ufanye hitimisho sahihi.
 
Back
Top Bottom