MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,767
mkuu hapa umewaza kwa kutumia nyetiKumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?
Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah