Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Sasa huyo Mungu wa Waislam ni wapi amehimiza tuweke alama ys Nyota na mwezi?Aisee...kumbe wewe Mama uko vizuri sana tu kuhusu Mungu halisi Muumba mbingu na nchi?
Hongera sana Mama la Mama na Mungu azidi kukupatia nguvu nyingi katika hiyo neema aliyekujalia kuwa nayo.