Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Yaani hapo mnajaribu kulazimisha njano kuwa nyekundu ..kumbuka kuna maneno SISI na YEYE..na ukae ukikumbuka pia yuleyule aliyesema SISI ndio aliyesema YEYE ..sasa anawezaje kuwa mtu mmoja ,kwa nini asiseme MIMI??
Hili ndio tatizo lako unalazimisha aseme kama unavyotaka wewe, Mungu ameshesema kuwa ni mmoja wala hana mshirika , huo ni ufikishaji tu

YOHANA 17:3
"; Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu kristo ULIEMTUMA";
Swali anaezungumza hapo ni nani? ili tujue unaelewa nini
 
MAJIBU
1. Ukiona neno " sisi " ujue ni Mungu mwenyewe , anatumia wingi kujitukuza , kwa hiyo " WAO" maana yake ni Mungu mwenyewe tu , ndio ameteremsha kitabu hiki , kwa kumpa kazi ya ualimu jibril na kumfundisha Mohamadi(S.A.W)
QURAN 69:43
"; Ni uteremsho utokao kwa mola mlezi wa walimwengu wote";

2. Aliye apa ni Mungu mwenyewe ndio anaweza kuapa na chochote, ni marufuku kiumbe kuapa kwa kiumbe mwenzake

Mimi sikatai allah ni mungu ilaha Ninacho kataa allah SIO MUNGU ANAYE PASWA KUABUDIWA KWA HAQI mungu gani aapie kwa ALIYE UMBA DHAKARI NA K%#*ma View attachment 995015 kwa akili zako yeye ndiye aliye UMBA ona hapa allah anasema muhammad alipo jitangaza na kujipeleka kwa kuwa nae ni mtume Mungu ni SHAHIDI
IMG_20190115_134630_346.jpg
ona Mwenyezi Mungu anavyo apa
IMG_20190115_134935_921.jpg
IMG_20180825_122512_559.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini mnawai
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
ta mayahudi badala ya WAYAHUDI?
 
Kwahiyo alama hizo ni mapambo tu,??
"Na katika Ishara zake ni usiku na mchana, na jua na mwezi. Basi msilisujudie jua wala mwezi, bali msujudieni Mwenyezi Mungu aliye viumba, ikiwa nyinyi mnamuabudu Yeye tu" [Quran 31:47]

Ni alama tu kuwa muumba wa hivyo vitu ndiye anayeabudiwa na si vinginevyo. Ushahidi ni aya hiyo hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah
Uislam haujachakachuliwa bali watu ndio wamechakachuliwa. Uislam upo very ckear kuhusu hivyo vitu kama nyota mwezi n.k na ushahidi ni aya hii hapa

"Na katika Ishara zake ni usiku na mchana, na jua na mwezi. Basi msilisujudie jua wala mwezi, bali msujudieni Mwenyezi Mungu aliye viumba, ikiwa nyinyi mnamuabudu Yeye tu" [Quran 31:47]

Kimsingi hizo ni alama tu kuwa muumba wa hivyo vitu ndiye anayeabudiwa na si vinginevyo. Alama hizo si sehemu ya dini wala si sehemu ya ibada na zinaweza zikawepo au zisiwepo haithiri chochote japo kutokuwepo ni bora zaidi ili kutokuwaweka njiapanda wasioelewa. Ndio maana baadhi ya misikiti zipo na misikiti mingine hazipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
unaweza kunisaidia hyo dini yakwel nianze kuabudu msaada Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikatai allah ni mungu ilaha Ninacho kataa allah SIO MUNGU ANAYE PASWA KUABUDIWA KWA HAQI mungu gani aapie kwa ALIYE UMBA DHAKARI NA K%#*ma View attachment 995015 kwa akili zako yeye ndiye aliye UMBA ona hapa allah anasema muhammad alipo jitangaza na kujipeleka kwa kuwa nae ni mtume Mungu ni SHAHIDI View attachment 995072 ona Mwenyezi Mungu anavyo apa View attachment 995076 View attachment 995083

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Hapa ndio napata tabu na uwezo wa akili yako , alieumba dhakar ni yeye mwenyewe , nisawa na kuapa na nafsi yake, kama nilivyokwambia Mungu anaweza kuapa na chochote hata na uumbaji wake mwenyewe ata na sisimizi , ngoja tukuonyeshe kuwa Mungu ajawai kuwa na mipaka kwenye kuapa

AMOS 8:7
";";Bwana AMEAPA kwa FAHARI YA YAKOBO, hakika sitazisahau kamwe kazi zao hata moja ";

Wewe ni uwezo wako mdogo wa kufahamu mambo, si huyu Mungu anaapa kwa ufahari wa yakobo , mbona ushangai ? ahahahhaahhahaahahahhah

2.Allah ni Mungu kweli kweli moja ya sifa yake ni hii hapa
QURAN 57:4
"Naye yu pamoja nanyi popote mlipo"
Huyo ndio Allah ulipo yupo
SASA kuna huyu ambaye ndani ya maji AONI anakuwa kipofu ahahahahaahahahha, anaomba msaada kwa NYOKA yeye hawezi kufika mbona hili uji kutangaza Ahahhahahahahah

AMOS 9:3
" Nao watapojificha katika kilele cha karmel, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari NISIWAONE,nitamwagiza joka huko,naye atawauma ";

Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa Mungu asieona , katika vilindi vya bahari mimi wanini? nyoka akigoma imekula kwake ahahhahahahah Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Kwa akili za kikafiri kafir umepatia
IMG_20190114_145706_268.jpg
Mungu wa warabu amesha wafagilia Wakristo
Screenshot_20190114-110326.jpg
wewe bweka tu hadi unune no body cares kafir kubwa wee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za kikafiri kafir umepatia View attachment 995474 Mungu wa warabu amesha wafagilia Wakristo View attachment 995476 wewe bweka tu hadi unune no body cares kafir kubwa wee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu wa kwanza kumtwanga ni huyu hapa , mwenye sifa iliowekwa hadharani na mr Paul

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
" kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";

anza kumtwanga huyu Mungu wa Paulo mwenye UPUMBAVU na UDHAIFU wenye viwango vizuri kushinda wanadamu halafu ndio uje kwangu ahahahaah

2. Hata akikufagilia hiyo haikufanyi uwe kwenye haki

QURAN 3:19
" Bila shaka dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu";
sasa endelea na upuuzi wako kuwa Mungu alipigwa vibao Ahahahahaaaahqa
 
umepatia
IMG_20190114_145706_268.jpg
wee bomba sana kuliko Mungu wa warabu na mwanae abd allah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umepatia View attachment 996965 wee bomba sana kuliko Mungu wa warabu na mwanae abd allah

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno aandike Paulo , umlilie Mungu wa waarabu ahahahhahahahahh

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya binadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

Mpumbavu nambari moja Paulo kamsema sasa anza kumtwanga tena bora angekuwa mpumbavu tu pia ni DHAIFU ndio maana jamaa walimnasa vibao kama unavyosemaga
 
ulitaka nisemeje Hicho ulicho ANDIKA ni mitaka taka uliyo karirishwa toka kwa mwalimu wako pofu nakupongeza napo hutaki ruksa endelea kubweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulitaka nisemeje Hicho ulicho ANDIKA ni mitaka taka uliyo karirishwa toka kwa mwalimu wako pofu nakupongeza napo hutaki ruksa endelea kubweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimenukuu tu maneno ya Mr. Paul , ahahahhaahahajaajajjaa kumbe maneno ya Mr.Paul ni takataka , kwa kweli huu msumali lazima uwe takataka

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"; Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya binadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

Ahahahahaaaahahhahhaaha takataka kweli kweli , Mungu abakizwe na kachupi ahahahhaahahajaajajjaa
 
Kama umenukuu tu bila kumuuliza aliye ANDIKA asbab ya kuandika ndio Upumbavu huo huwezi ukanukuu NENO "KINU" Iringa wanako maanisha
IMG_20190118_114813_227.jpg
sasa nenda Moshi mwambie mwanamke naomba KINU afu kitakacho kupata anzisha thread uone utakavyo zomewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umenukuu tu bila kumuuliza aliye ANDIKA asbab ya kuandika ndio Upumbavu huo huwezi ukanukuu NENO "KINU" Iringa wanako maanisha View attachment 997906 sasa nenda Moshi mwambie mwanamke naomba KINU afu kitakacho kupata anzisha thread uone utakavyo zomewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe muandishi ulimuuliza wapi mlipoonana ? ahahahhaahhahaahahahhah imetafsiri kiswahili ili uelewe Mpumbavu atabaki mpumbavu dunia nzima labda uniletee kamusi ya kiswahili ikiwa na maana tofauti ya mpumbavu Ahahahhahahahahahaha hicho kinu katwangie kisamvu au kamtwange huyo Mungu wa Paulo alietemewa mate kama MAVI ahahahhaahahajaajajjaa
 
Back
Top Bottom