Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Qur'an katika Sural 56:75. Allah anasema..
" I swear by the position of the star" Yaani Allah anaapa kwa nyota!

Swali kwani nyota imemzidi Allah Kwa uungu?
Kwanini ahape kwa alicho kiumba? Au nyota ilimuumba Allah?
Anayeapa hapo ni Muhammad. Siyo Allah. Mnajidai mnaijua Quran kumbe ni mavi matupu matakoni.....
 
Anayeapa hapo ni Muhammad. Siyo Allah. Mnajidai mnaijua Quran kumbe ni mavi matupu matakoni.....
Aha! Nilijua utakuja huko! Kumbe Muhammad alikuwa anaapa kwa nyota siyo Allah? Kwahiyo, unakubaliana na mimi Muhammad aliabudu nyota?
Nyota huyo lazima atakuwa Allah!
 
Anayeapa hapo ni Muhammad. Siyo Allah. Mnajidai mnaijua Quran kumbe ni mavi matupu matakoni.....
Mavi unayo kunya wewe siyo matupu? Au umechnganya na kitu? Mavi hayo matupu hayakutoki matakoni kwako?
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Hold on to Allah, hold on to Hell
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.

Musa alimchonga sanamu ya Nyoka wa Shaba, akamtundika juu ya mti na kila aliyeumwa na nyoka akimwangalia yule nyoka alipona, asiye mwangalia hakika alikufa. Pia aliyachonga sanamu ya Makerubi (malaika) na kuyaweka juu ya madhabu moja huku na lingine huku.
 
Mkuu imeandikwa
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Mathayo 7:6
Yaani ni sawa sawa na usemi " Mjinga usimwambie maana"
 
hv mnapata faida gani kutukanana dini zenu, mnapata zambi tu. ungeelewa maana ya IMANI msingekuja kutukana dini zenu
 
Kweli vyuma vimekaza mtu unashindwa kukomaa na mambo yako unaanza kuwaza alama ya mwezi na nyota msikitini kwako wewe itakusaidia nini ilhali hata siyo dini yako hiyo
 
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia pumzi,tulimteremshia kitabu na nyingine nyingi.Swali langu ni kwamba kama kweli Allah hana mshirika je hao anao wataja kama kafanya nao hivyo vitu ni akina nani? Hizi hapa ni baadhi ya Sura zinazozungumzia wingi wa Allah Az-Zumar 39:2 na Sura Anbiyaa 21-91.
 
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia pumzi,tulimteremshia kitabu na nyingine nyingi.Swali langu ni kwamba kama kweli Allah hana mshirika je hao anao wataja kama kafanya nao hivyo vitu ni akina nani?
Hana mshirika, hapa ni katika utumizi wa lugha kuonyesha uwezo na utukufu wake mfano mwingine ni kuandika Mungu/God kwa kuanza na herufi kubwa, kumpa Mungu kiwakilishi cha He
 
Eti alama za utambulisho tu?? Swali ni kwamba kwa nini iwe mwezi na nyota na isiwe alama zingine??

Hapa nategemea waislam waje watwambie kwa nini mwezi na nyota ndo vitambulishe uislam kwenye msikiti?? Na sio kutwambia hazina maana.

Unataka kutwambia kwamba walichagua hizo ndo zitumike kutambulisha uislam katika maeneo tofauti ni wapuuzi?? HAPANA, wanajua wanachokimaanisha. Na hicho ndo tunataka kukijua. Kwa nini nyota na mwezi na sio kitu kingine? Zina uhusiano gani na uislam hadi ziwe utambulisho wa uislam???
 
Usiongee usiyoyajua. Hiyo alama ilikuwa adopted wakati wa Ottoman Empire na haihusiani chochote na uislam. Uislam ni kuabudu Mungu mmoja pekee aliyeumba mbingu na ardhi hana watoto, wajomba wala wajukuu, hajazaa wala kuzaliwa.

Imekuwa common place watu kuiga hii design mpaka sasa waliowengi (hata baadhi ya waislam wenyewe) wanadhani na sign ya uislam iliopo toka kipindi cha Mtume Muhammad (Rehma na Amani zimshukie juu yake) lakini hapana. Katafute kitabu chochote cha hadith (statement ya Mtume S.A.W) unitafutie hata invented hadith inayosema nyota na mwezi na alama ya uislam halafu niletee.

Ndio maana mpaka leo bendera ya uturuki ina the same symbol ya nyote na mwezi from the Ottomans, wengi wanadhani waturuki wamecopy from Islam but its actually vice versa and many scholars don't recommend hata iwepo maana kuna watu watafikiri kama unavyofikiri wewe

I hope umeelewa
Eti haihusiani chochote na uislam-hiyo ni sanamu na mnaiabudu kama wakatoliki wanavyoabudu sanamu zao
 
unaposema humuoni Abdulrahman sijui ulitaka kumaanisha nini
Nafikiri PNC umeeleza vizuri historia ya waraabu ila bahati mbaya hujaeleza historia ya uislamu kama ulivyoaanza 610 AD. Huyo Allah unae mzungumza na alietajwa kwenye uislam sifa zao hazifanani na ndo msingi wa uislamu, pia Allah ametajwa kwa majina 99 Allah likiwa moja wapo ndo maana unamuaona Abdullah humuoni abdulrahman
 
huyu Safia ilibidi wamuue mumewe kwanza ndio muhamad aweze kumuoa
Nimeona mahali wake wa mtume.

Bi Khadija, mjane
Bi Sauda, mjane
Bi Aisha, binti Abu Bakr
Bi Hasfa, binti Omari
Bi Zainab, mtalaka wa Zaid
Bi Umm Selma
Bi Rihana, myahudi
Bi Safiya, myahudi
Bi Habiba, binti Abu Sufyan
Bi Maria, mkristo mhabeshi

Faida ya kuoa wake zaidi ya wanne ni kwaajiri ya mtume tu.

"Ewe, nabii, nihalali kwako tu, si kwa Waislamu wengine"
( 33 : 50 )

Wengine ni mwisho wanne tu
4 : 3 An Nisaa.
 
Kwa nezi hizo, ndio kama kanipendezesha kwanini nimuache, ningeoa tu. Bikra Maria alikuwa na umri wa miaka 12 wakati joseph ana miaka tisiini uko
hii miaka ya bikira maria ipo kwenye kitabu gani mkuu
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Asante kw a ufafanuzi murua je, manaswara ndio kina nani hill neno limetoka kwenye lugha gani!?
Pia kwanini nyinyi waislamu mnawaita wayahudi-MAYAHUDI badala ya wayahudi?!
 
Back
Top Bottom