Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

neno uislam maana ya unyenyekevu sio amani acha kupotosha watu
Kafiri ni yule anayekwenda kinyume na maagizo ya Allah.Allah ameagiza na kusisitiza AMANI.Hata mtu akijiita jina la kiislamu,kama hataki AMANI,huyo sio muislamu.Neno Islamu,maane yake AMANI.
 
Hizo alama first of all hazimo ndani ya msikiti ,pili baadhi tu wameweka nje ,pia hazipo kwenye sunna au Quran ,..point wanaotoa ni utambulisho kuwa sehem Fulani kuna msikiti mfano nikienda sao Paolo kwenye matembezi yng ya kuutafuta msikiti nikiona kiashirio hicho bas ntajua sehem fulan kuna msikiti ,

Tatu ni haraam kwenye nyumba yeyote kubandikwa picha au sanamu lolote mafundisho yanasema hvy kama unasema mafundishi ya mussa yanapinga masansmu basi uislamu&mussa wamefungana kimafundisho sabb according to Islam nyumba yenye sanamu au picha malaika haingii
Ila sanamu ya mwezi na nyota unaona ni poa tuu kuwekwa ktk nyumba ya ibaada.
 
Hii alama haina maana yoyote ndiyo maana misikiti mingi hawana!
Acha kupotosha kama unataka kujua hiyo sanamu ya mwezi na nyota ina maana nenda katoe alafu badala yake uweke sanamu ya kitu kingine ukipona njoo utupe mrejesho.
 
siyo kuchachamaa mkuu. katika kuongeza maarifa niliona alama hizi zilikuwapo toka zamani zikuhusisha ibada ya jua n mwezi.
hii ni 12th century BC. mungu jua, mwezi na venus.
666px-Kudurru_Melishipak_Louvre_Sb23_n02.jpg

hizi ni pesa 1th century BC
001-Byzantium-2.jpg

pesa ya Roma karne ya pili.
Hadian_denarius_coin_star_crescent.jpg
Kasome na THE EUROPEAN INHERITANCE VOL 1
 
Umejuaje sio dini yake
Kweli vyuma vimekaza mtu unashindwa kukomaa na mambo yako unaanza kuwaza alama ya mwezi na nyota msikitini kwako wewe itakusaidia nini ilhali hata siyo dini yako hiyo
 
Mkuu na rangi ya Kijani nayo haina maana yoyote?au rangi yoyote ile inayotumiwa kidini?
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
 
Siku ya mwisho kwa waisilamu woote [emoji117]
IMG_20181126_200451_328.jpg
anaebisha ainue kidole [emoji121] [emoji53]
 
Usiongee usiyoyajua. Hiyo alama ilikuwa adopted wakati wa Ottoman Empire na haihusiani chochote na uislam. Uislam ni kuabudu Mungu mmoja pekee aliyeumba mbingu na ardhi hana watoto, wajomba wala wajukuu, hajazaa wala kuzaliwa.

Imekuwa common place watu kuiga hii design mpaka sasa waliowengi (hata baadhi ya waislam wenyewe) wanadhani na sign ya uislam iliopo toka kipindi cha Mtume Muhammad (Rehma na Amani zimshukie juu yake) lakini hapana. Katafute kitabu chochote cha hadith (statement ya Mtume S.A.W) unitafutie hata invented hadith inayosema nyota na mwezi na alama ya uislam halafu niletee.

Ndio maana mpaka leo bendera ya uturuki ina the same symbol ya nyote na mwezi from the Ottomans, wengi wanadhani waturuki wamecopy from Islam but its actually vice versa and many scholars don't recommend hata iwepo maana kuna watu watafikiri kama unavyofikiri wewe

I hope umeelewa

Hapo kwenye mungu mmoja shetani ndipo alipo waghilibu Hata mungu dagon ni mmoja, mungu firauni ni mmoja...Muhimu ni kuangalia sifa za Mungu anaepaswa KUABUDIWA KWA HAQI ANA TBS
IMG_20181029_192415_578.jpg
 
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia pumzi,tulimteremshia kitabu na nyingine nyingi.Swali langu ni kwamba kama kweli Allah hana mshirika je hao anao wataja kama kafanya nao hivyo vitu ni akina nani? Hizi hapa ni baadhi ya Sura zinazozungumzia wingi wa Allah Az-Zumar 39:2 na Sura Anbiyaa 21-91.
Huo wanaita wingi wa utukufu. Kiingereza wanasema Royal we. Wingi wa utukufu wa malkia au mfalme.
 
Huo wanaita wingi wa utukufu. Kiingereza wanasema Royal we. Wingi wa utukufu wa malkia au mfalme.
Napata ukakasi sana kuelewa hiyo logic yako unaposema wingi wa utukufu.Unajua maana ya Wingi?? Wingi kwa kizungu ni vitu kuanzia viwili na kwa kiarabu wingi ni kuanzia vitu vitatu.Ningeelewa zaidi kama hili jibu angelitoa mkisto kwa maana wao ndio huamini katika wingi wa utukufu (mfano nafsi 3).Kwa uislamu wingi wa utukufu kwa kujiita sisi unakujaje hapa ? Ni heri Allah angejitambulisha wingi wa utukufu wake kwa kujiita mkuu wa wakuu au mwenye enzi ya juu lakini sio kujiita sisi.Nadhani kuna haja ya kukaa na wanazuoni wenu ili mpate jibu sahihi ya hili swali maana kuna baadhi ya maswahaba wanadai Allah alikuwa anazungumza na malaika wake ambao yuko nao karibu ambao anawaagiza kazi mbali mbali(sasa hii sio shirk??).
 
Usiongee usiyoyajua. Hiyo alama ilikuwa adopted wakati wa Ottoman Empire na haihusiani chochote na uislam. Uislam ni kuabudu Mungu mmoja pekee aliyeumba mbingu na ardhi hana watoto, wajomba wala wajukuu, hajazaa wala kuzaliwa.

Imekuwa common place watu kuiga hii design mpaka sasa waliowengi (hata baadhi ya waislam wenyewe) wanadhani na sign ya uislam iliopo toka kipindi cha Mtume Muhammad (Rehma na Amani zimshukie juu yake) lakini hapana. Katafute kitabu chochote cha hadith (statement ya Mtume S.A.W) unitafutie hata invented hadith inayosema nyota na mwezi na alama ya uislam halafu niletee.

Ndio maana mpaka leo bendera ya uturuki ina the same symbol ya nyote na mwezi from the Ottomans, wengi wanadhani waturuki wamecopy from Islam but its actually vice versa and many scholars don't recommend hata iwepo maana kuna watu watafikiri kama unavyofikiri wewe

I hope umeelewa
Well imechukukuliwa toka uturuki ya zamani, Nenda kachimbue kwa waturuki ilikuwa na maana gani.
Vitu vingi vya zamani vilikuwa vina maana nyuma yake, yawezekana majority ya waislamu hawaijui maana yake but kuna scholars wachche wanajua na kunufaika nayo.
Think.
 
Nani alokwambia kama waandishi wa Bibilia walimuona Yesu?
acha maswali ya kipumbavu ,hujui kama mathayo,marko ,petro wote walikua wanafunzi wa yesu ,pia luka alionana na wanafunzi wa yesu so hata yeye ana posibility ya kupata habari direct za yesu na watu wake kutoka kwa watu waliomshuhudia yesu,sio huyo publisher wako wa mwaka 2004,akup habari za mama maria wa miaka 2000 iliyopita
 
Nyota na Mwezi haina maana yoyote kwa waisilamu ni kama pambo linawekwa ktk misikiti
Lakini haina maana yoyote kiibada na ndioma maana waislamu mnaweza mkakusanyika sehemu pasipo kuwa na hizo alama mkafanya ibada bila ya matatizo yoyote
 
mbona ibada ya ramadhani inaanza baada ya hiyo hiklo pambo kuonekana angani,na inasih baada ya hilo pambo kuonekana tena

Rejea(fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi
 
Back
Top Bottom