Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Toa andiko! Mungu anapiga vita masanamu sasa nashangaa eti unamshirikisha Mungu na masanamu. Kwaa taarifa tu Mungu wa Musa ni Yesu!Mungu wa Musa alimuamuru Musa atengeneze sanamu la nyoka wa shaba na kumtundika mtini, kila aliyeumwa na nyoka kule jangwani alienda kuitazama ile sanamu ya nyoka naye alipona. Rejea pia wakati Musa anajenga madhabahu, aliambiwa atengeneze sanamu za ndege wawili awaweke mmoja kuume na mwingine kulia.......kama hujui usiongee mkuu
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app