Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Wewe ki mawazo yako ndio unavyowaza ni juzi,wakati hapa kwetu Tanzania,Uchoraji wa ramani za jengo umeanza miaka kama mia iliyopita,tena kwa nyumba za ghorofa za wazungu na wahindi.Nyumba za kawaida zikilij engwa,fundi wa ujenzi anavyoona yeye inavyofaa.Wakati wa Muhammad kulikuwa hakuna technolojia yoyote kweli?, muhammad wa juzi tu hapo,