"Na katika alama Zake ni usiku na mchana, jua na mwezi; basi msilisujudie jua wala mwezi; bali msujudieni Mwenyezi MUNGU Aliyeviumba ikiwa nyinyi mnabuabudu Yeye". (Quran 41:37) hilo ndio jibu acheni kutunga uongo.Kumbe zina maana mbona wenzako wanakataa kuwa hazina maana
"Na katika alama Zake ni usiku na mchana, jua na mwezi; basi msilisujudie jua wala mwezi; bali msujudieni Mwenyezi MUNGU Aliyeviumba ikiwa nyinyi mnabuabudu Yeye". (Quran 41:37) hilo ndio jibu sahihi, mengine mengi ni uzushi.Kwanini basi pale kwenye JIWE JEUSI mpaka leo bado zipo? iwapo ni urembo tu? na huo msikiti kila mara unafanyiwa matengenezo aidha kuongeza upana ama marembo, lakini The Moon gog bado kainuliwa juu ya minara.
Another CHAKA here, sasa hizi ni alama za nani? na ikiwa Muslim wanaaminishwa kuwa siku ya mwisho watadaiwa ROHO iwapo watajifanyia sanam. ndio maana hata picha yako mwenyewe hutakiwi kuitundika nyumbani kwako."Na katika alama Zake ni usiku na mchana, jua na mwezi; basi msilisujudie jua wala mwezi; bali msujudieni Mwenyezi MUNGU Aliyeviumba ikiwa nyinyi mnabuabudu Yeye". (Quran 41:37) hilo ndio jibu sahihi, mengine mengi ni uzushi.
Ulikuwepo mkuu wakati hayo unayosema yakitokea???1. Kwa nini waislamu walikuwa wakiswali wakielekea Yerusalem kama walivyokuwa wanafanya wayahudi, na baada ya muongo mmoja wakabadilisha mwelekeo wakawa wakiswali wanasujudu kuelekea Mecca?
2. Kwa nini Mohammad alipokuwa anakaribia kufariki alimlaani yule mwamamke aliyempa nyama yenye sumu, kwa nini hakumsamehe?
3. Kwa nini Muhammad alisema kuwa kondoo kaongea naye kuwa ile nyama alopewa inasumu ilihali alikuwa ameshameza vipande kadhaa?
4. Kwa nini Muhammad aliapa na kusema kuwa kama yeye sio mtumishi wa Mungu wa kweli na akatike mshipa mkuu wa damu (aorta), na alipokaribia kufa alikuwa akilalamika kuwa anahisi kama mshipa mkuu wa damu unakatika?
5. Kwa nini wakienda kuhiji wanabusu lile jiwe (the black stone) pale kwenye kaabba? Wakati hiyo ilikuwa desturi ya wale wapagani kabla ya uislamu.
6. Kwa nini kile kijumba (kaaba) wanakizunguka mara saba wakienda kuhiji mecca na ni kwa nini huwa wanaenda pia milimani? Wapagani walifanya hivyo kwa kuwa walikuwa wanaabudu miungu 7 kwa hiyo kila round moja ilikuwa ibada kwa mungu mmoja. Pia walikuwa na desturi ya kwenda milimani kuabudu.
Kasome aya zilizo kabla yake kama unataka kuelewa. Dont create false assumptions, kusanya facts. Ukitaka kuelewa utaelewa, usipotaka hutaelewa hata aje malaika.Another CHAKA here, sasa hizi ni alama za nani? na ikiwa Muslim wanaaminishwa kuwa siku ya mwisho watadaiwa ROHO iwapo watajifanyia sanam. ndio maana hata picha yako mwenyewe hutakiwi kuitundika nyumbani kwako.
Sasa MWEZI na NYOTA hamtaulizwa kwanini mlizitundika juu ya nyumba zenu za ibada ikiwa hazhusiani na kitu Imani?
Ndio maana tumeuliza. ikiwa wewe wajua ukweli wa alama hizo zinahusika vipi na UISILAMU, toa majibu.Kasome aya zilizo kabla yake kama unataka kuelewa. Dont create false assumptions, kusanya facts. Ukitaka kuelewa utaelewa, usipotaka hutaelewa hata aje malaika.
Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
It is written in your books.Ulikuwepo mkuu wakati hayo unayosema yakitokea???
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Wanaabudu mwezi na nyota kama ambavyo wakatoliki wanavyoabudu jua,fuatilia hata siku ya kufunga na kufungua,mpaka Mwezi akubaliSifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
iliposemwa fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi ama timizeni 30 usipoonekana mwezi....Haina maana unaabudiwa mwezi Bali mwezi unatumik kama notification/alarm hasa ukizingatia zamani walijua majira/nyakati kwa kufuata mwandamo wa mwezi.....Katika Uislamu hakuna kinachoabudiwa zaidi ya Muumba Allah aliye peke yake asiye na mshirika/mpambe.Anayeabudu asiyekuwa Allah ama akachanganya mwingine pamoja na Allah huyo siyo Muislamu Bali ni MSHIRIKINA/KAFIRI.NA ALLAH ANAJUA ZAIDIWanaabudu mwezi na nyota kama ambavyo wakatoliki wanavyoabudu jua,fuatilia hata siku ya kufunga na kufungua,mpaka Mwezi akubali
Ni cosmetics ili kupendezesha machoKwahiyo alama hizo ni mapambo tu,??
says who?Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Kipi bora? Kuabudu shetani au kuabudu sanamu lenye kugongelwa misumari msalabani?Hao huwa hawaelewi maana kwao satan ndo mungu hao watu ni brain washed