Ojita ja gasi
New Member
- Jun 12, 2017
- 2
- 0
Nyie wapagani na makafiri mnasumbuka kama acacia wanavyosumbuka na mchanga wa Tanzania
Mungu wa Musa alimuamuru Musa atengeneze sanamu la nyoka wa shaba na kumtundika mtini, kila aliyeumwa na nyoka kule jangwani alienda kuitazama ile sanamu ya nyoka naye alipona. Rejea pia wakati Musa anajenga madhabahu, aliambiwa atengeneze sanamu za ndege wawili awaweke mmoja kuume na mwingine kulia.......kama hujui usiongee mkuuThink twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
upeo wako ndio ulipo ishia hapo yani kwa akili zako hizo unadhani mzungu au muarabu ndio kaumba hii ardhi na mbingu na vivyomo ? kweli wewe bogasiBtw,
There's no hell or fire, no devil. All those are manmade stories and worries against other people.
I'm not foolish to accept whitemen or Arab's god's.
I am blessed, am educated and I do good things than those religious people whom you keep praising while behind the scenes they kill, snitch others, rape women and steal.
I was taught to be a good person from my childhood by my parents and my country taught me values and norms, to guide me always.
Keep moving forward with your crazy religions.
maneno ya uongo hayo unayasema yatakuangamizaMungu wa Musa alimuamuru Musa atengeneze sanamu la nyoka wa shaba na kumtundika mtini, kila aliyeumwa na nyoka kule jangwani alienda kuitazama ile sanamu ya nyoka naye alipona. Rejea pia wakati Musa anajenga madhabahu, aliambiwa atengeneze sanamu za ndege wawili awaweke mmoja kuume na mwingine kulia.......kama hujui usiongee mkuu
sisi kazi yetu kuwapa nasaha tu nyie mliopoteaHiyo quran ya karne ya sita ndo wataka imsemee Ibrahim wa Israel? Jipe moyo
masih hana nasaba na ukiristo kamweWewe kweli kilaza. unakana hadi Quran inavyosema. soma hapa
Surat Al Imran 45. Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).
au hujui maana ya masihi kwamba ni neno moja na Kristo katika lugha tofauti? wewe bado sana kujadili haya mambo humu kamuite Gavana.
masih hana nasaba na ukiristo kamwe
hilo swali halina nasaba na mada na wewe huna ujuzi na hayo wala qur'an unaweza ukasoma lakini ukawa hujaielewa na huto elewa sababu upo kwenye gizawewe hata Uislamu wenyewe huu ujui. nani alitaka kutolewa kafara kwenye kaaba na kafara yake ikabadishwa kwa ngamia?
14. surat ibrahim.Usiwe mgumu kuelewa ndugu. Ni kweli mimi nimeumbwa ila sijaumbwa na mungu allah
Mi siamini Quran na kilichomo14. surat ibrahim.
19.huoni kuwa mwenyezi mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa haki? Akitaka atawaondoeni na alete viumbe wapya!
Mi siamini Quran na kilichomo
ALLAH akuongozeMi siamini Quran na kilichomo
Ndivyo inavyompendeza
Allah.
Karne ya 21 hii bado mtu unaabudia SANAMU alafu unasema unampenda MUNGU na Kumtukuza kwa mapambio kweli bora upofu wa macho kuliko upofu wa Moyo!!!Na hii inamaanisha nn[emoji22]![]()
Kumtumikia shetani kunahitaji kukariri au kutumia hicho kitivo ulichokitaja?
Na washawasha!
Halafu hii tabia ya kuitana manaswaraSifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Halafu hii tabia ya kuitana manaswara
Mkui acha kunichuria aisee. Allah aniongoze wapi? Au kule atakako weka mguu wake aiulize "Jehanum je umejaaa?"ALLAH akuongoze
surat ah-zaab aya 57. hakikan wanao muudhi mwenyezi mungu na mtume wake, mwenyezi mungu amewalaani duniani na Akhera, na amewaandalia adhabu ya kufedheesha.mtume wao anasifika kwa kua na nguvu nyingi za kiume alikua mkazaji mzuri sana mpaka akao na mwanamke wa kinaswara na kiyahudi