Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Kama hivi ndivyo ninapata mashaka makubwa na waislam kuuelewa uislam...
kuna mambo mengi ambayo yamejificha ktk dini zetu wanaojua ni viongozi wafuasi hawatokaa wayajue kamwe
 
Rejea Kwenye swali la msingi wa thread hii hapo.
nikusaidie namna ya kulijibu swali hili kwa kutumia MSALABA(Cross) ni hivi. Sisi Wakristo tunaweka msalaba kwenye makanisa na sehem yeyote tunayoweza itumia kufanya ibada kwa maana hizi. 1 - Alama, kwamba hapa/nyumba hii ni sehemu ya IBADA. 2 - Alama, kwamba IMANI yetu kuwa tumepata ukombozi kwa njia ya msalaba baada ya Yesu Kristo kuangikwa juu yake, hatimaye akafa kwaajili yetu.(Tumekombolewa kwa njia ya msalaba) Somo pana sana kuujua msalaba. ila kwa leo niishie hapo.
Sasa jibu swali la msingi. Alama ya nyota na mwezi kwenye misikiti humaanisha nini??
Usifananishe yaliopo kwenye ukristo,na yawepo kwenye uislamu,mwezi ni alama waliweka wachoraji ramami,na wajenzi ndio wakafuatia.Ipo misikiti mingi haina mwezi.
1:Wakristo wanaume na wanawake wanavaa misalaba,shingoni na mapambo yao.
a.Waislamu hawavai nyota shingoni wala kwenye mapambo.
yao.
2.Makaburi yote ya kikristo yanaekewa misalaba
b.Makaburi ya waislamu hayaekewi mwezi.
3.Nyumba za kikristo,mashule,hospital,Taasisi zao,gari zao,utakuta misalaba.
c.Nyumba za waislamu hakuna mwezi,shule za waislamu hakuna mwezi,hospital hakuna mwezi,gari zao,hawatundiki mwezi
4.Ndani ya kanisa kunakuwa na msalaba mkubwa,mingine mpaka mitatu.Mbele ya kanisa.
d.Ndani ya msikiti hakuna alama ya mwezi
5.Wakristo wanafanya alama ya msalaba wakati wa kabla kula,kuomba,kusali.
6.Kwa waislamu wakila,kuomba,kuswali,hawafanyi alama ya mwezi.
Kwa hiyo mwezi uko juu,nje ya msikiti,sio mbele ya msikiti,ni ishara tu,kwa ushauri wa wajenzi.Uko misikiti mingi tu haina alama ya mwezi,iko misikiti ya vijijini,misikiti midogo ya maeneo mengi haina alama ya mwezi.Hayo yote ni kutambulisha kuwa alama ya mwezi ,haihusiani na uislamu,ni alama kama alama nyingine zozote za utambulisho kwa mgeni wa,eneo husika,kama hapa kuna nyumba ya ibada ya waislamu,ili mgeni asije fanya jambo kinyume na imani husika.
Wapo wazungu ,watalii ambao hupita maeneo mbali mbali,kwa kupiga picha,wapo wanaochukuwa PHD,kwa kupitia dini ya kiislamu.Wakifika maeneo mbali mbali,kuchukuwa picha za msikiti bila kuuliza wenyeji kwa kuona alama ya msikiti.
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
wewe huongelei Mungu aliamlisha wachonge sanamu la nyoka washaba ili kila atakayelitazama apate kupona????
 
nyie mnazikataa hoja za wazi mtajuta mkifa katika ukafiri
Kafiri ni yule anayekwenda kinyume na maagizo ya Allah.Allah ameagiza na kusisitiza AMANI.Hata mtu akijiita jina la kiislamu,kama hataki AMANI,huyo sio muislamu.Neno Islamu,maane yake AMANI.
 
Unaekekea uko deep kiasi, m Luna msomi mmoja niliwahi kumuuliza akaniambia kua nyota na mwezi vinaonekana katika uiskam kama shahidi aliyeshuhudia kruan tukufu ikishuka, kwani ikishuka using was manane na shahidi pekee aliyekuepo no nyota na mwezi tu.
Kwa hiyo Muhammad alikuwa amelala wakati kur'an inashushwa!!!??? Si aliiipokea!??? Iweje useme ilishuhudiwa na mwezi na jua pekee!!??? Mlijuaje kama Muhammad ndio alishushiwa!?? Hakuna waliomuona!!??? Mbona mnajichanganya sana...
 
Usifananishe yaliopo kwenye ukristo,na yawepo kwenye uislamu,mwezi ni alama waliweka wachoraji ramami,na wajenzi ndio wakafuatia.Ipo misikiti mingi haina mwezi.
1:Wakristo wanaume na wanawake wanavaa misalaba,shingoni na mapambo yao.
a.Waislamu hawavai nyota shingoni wala kwenye mapambo.
yao.
2.Makaburi yote ya kikristo yanaekewa misalaba
b.Makaburi ya waislamu hayaekewi mwezi.
3.Nyumba za kikristo,mashule,hospital,Taasisi zao,gari zao,utakuta misalaba.
c.Nyumba za waislamu hakuna mwezi,shule za waislamu hakuna mwezi,hospital hakuna mwezi,gari zao,hawatundiki mwezi
4.Ndani ya kanisa kunakuwa na msalaba mkubwa,mingine mpaka mitatu.Mbele ya kanisa.
d.Ndani ya msikiti hakuna alama ya mwezi
5.Wakristo wanafanya alama ya msalaba wakati wa kabla kula,kuomba,kusali.
6.Kwa waislamu wakila,kuomba,kuswali,hawafanyi alama ya mwezi.
Kwa hiyo mwezi uko juu,nje ya msikiti,sio mbele ya msikiti,ni ishara tu,kwa ushauri wa wajenzi.Uko misikiti mingi tu haina alama ya mwezi,iko misikiti ya vijijini,misikiti midogo ya maeneo mengi haina alama ya mwezi.Hayo yote ni kutambulisha kuwa alama ya mwezi ,haihusiani na uislamu,ni alama kama alama nyingine zozote za utambulisho kwa mgeni wa,eneo husika,kama hapa kuna nyumba ya ibada ya waislamu,ili mgeni asije fanya jambo kinyume na imani husika.
Wapo wazungu ,watalii ambao hupita maeneo mbali mbali,kwa kupiga picha,wapo wanaochukuwa PHD,kwa kupitia dini ya kiislamu.Wakifika maeneo mbali mbali,kuchukuwa picha za msikiti bila kuuliza wenyeji kwa kuona alama ya msikiti.
Umejitahidi kuelezea. ila kuna sehemu nimefika nimekwama kupata jibu. Umeanza na WACHORA RAMANI, Sasa ilikuwaje Muhammad akakubaliana na hizo alama na mpaka leo MASJID AL HARAM bado zipo? mnatambulisha nini ikiwa ni kila siku,week,mwezi, mwaka mnakwenda kuhiji pale na eneo hilo wanaoruhusiwa kufika ni muslim tu?
 
Hiyo sio alama ya nyota na mwezi kama wengi wanavyo fikiria, hiyo ni alama ya sayari ya surtun pamoja na ile ya jiwe la cube pale maka, wayahudi wenyewe wanavaa alama ya cube mbele ya paji la uso. Inasemekana hapo zamani sana sayari ya surtun ilikua karibu sana dunia na ilikua kama Jua, ukisoma tamaduni nyingi za zamani sayari ya surtun iliabudiwa kama jua na mtawala mkuu wa dunia, kwa sasa watawala wengi wa Dunia wanaitumia sayari ya surtun kama alama yao ya utawala. unaweza ku google image za surtun utaona jinsi tulivyo chini ya hii sayari.
Muongo we jamaa nimegoogle surtun hizi ndio images zilizokuja....
 
Attachments

  • Screenshot_2017-06-22-14-10-00.png
    Screenshot_2017-06-22-14-10-00.png
    247 KB · Views: 110
Umejitahidi kuelezea. ila kuna sehemu nimefika nimekwama kupata jibu. Umeanza na WACHORA RAMANI, Sasa ilikuwaje Muhammad akakubaliana na hizo alama na mpaka leo MASJID AL HARAM bado zipo? mnatambulisha nini ikiwa ni kila siku,week,mwezi, mwaka mnakwenda kuhiji pale na eneo hilo wanaoruhusiwa kufika ni muslim tu?
Hizi alama hazikuwako wakati wq mtume Muhammad,na wala hazikuwako katika huo msikiti
 
Umejitahidi kuelezea. ila kuna sehemu nimefika nimekwama kupata jibu. Umeanza na WACHORA RAMANI, Sasa ilikuwaje Muhammad akakubaliana na hizo alama na mpaka leo MASJID AL HARAM bado zipo? mnatambulisha nini ikiwa ni kila siku,week,mwezi, mwaka mnakwenda kuhiji pale na eneo hilo wanaoruhusiwa kufika ni muslim tu?
Hizi alama hazikuwako wakati wa mtume Muhammad,na wala hazikuwako katika huo msikiti.Kumbuka na ujuwe wakati wa Mtume Muhammad,kulikuwa hakuna teknolojia ya aina yoyote,msikiti ulikuwa ukijengwa ni wa kawaida,kama unvyoona misikiti iliyopo vijijini,japo sasa vijiji vingi vinakuwa na misikiti ya kisasa,lakini sio kama ya mijini,mingine ni ya ghorofa.Na vile vile jua na ukumbuke,baada ya kuingia teknolojia na uhandisi wa ujenzi duniani,huwezi kujenga jengo lolote mijini,bila kuwa na mchoro maalumu wa jengo lako,na mchoro unachorwa na wachoraji wa ramani za majumba,atakachochora mchoraji,kikiwa na vigezo vya kiuhandisi,ndio hupitishwa na mipango miji,na ndio jengo huanza kujengwa,kwa kukabidhiwa mjengaji,mjengaji hujenga kwa kufuata mchoro wa nyumba.Mchora ramani ndio anayekushauri kwenye jengo vitu mbalimbali,vya jengo lako.Hawa wa
choraji ramani ndio wanaoshauri,kuweke alama hizi,ili kuwe na wepesi wakutambua jengo ni la ibada.
Hilo jengo unaloliona la msikiti wa Mecca,sio jengo aliloswalia Mtume Muhammad,ila eneo ndio hilo,lakini kila miaka linapanuliwa,na kuzidi ukubwa,kutokana na ongezeko wa wauminiwa.
Unaposema wanaofika hapo ni waislamu tu,kwa nini iwekwe alama hiyo?Dunia imeendelea,hilo jengo unaloliona wapo ambao sio waislamu,wamefika hapo kwa njia ya Media,TV,Magazeti,mitandao,Picha mnato,video na njia mbali mbali.Kwa hiyo wanapoona,hata wakiwa anga za jua ,wanajuwa hapo ni nyumba ya ibada.
Jaribuni musio waislamu,mtembelee nchi zenye waislamu wengi,kama Oman,Dubai,Qatar,Saudis,Bahrain,Kuwait,hizi zina mambo ya kisasa,na teknolojia za kisasa,mpaka utashangaa,ukifika hospital zao,unaweza ukashangaa sana,wao kwa sasa vifaa vyao vya tiba,ni Digital,hawana XRay kama hizi zetu,Ultrasound zao ni tofauti,mpaka mashine za kuoshea magari ni tofauti sana.Kwa hiyo aiye muislamu,anaweza kutembezwa msikitini hapo,wakati hayupo hapo msikitini,na akaona na kushiriki kila kitu,akiwa yuko sehemu nyingine kabisa.
 
Hizi alama hazikuwako wakati wa mtume Muhammad,na wala hazikuwako katika huo msikiti.Kumbuka na ujuwe wakati wa Mtume Muhammad,kulikuwa hakuna teknolojia ya aina yoyote,msikiti ulikuwa ukijengwa ni wa kawaida,kama unvyoona misikiti iliyopo vijijini,japo sasa vijiji vingi vinakuwa na misikiti ya kisasa,lakini sio kama ya mijini,mingine ni ya ghorofa.Na vile vile jua na ukumbuke,baada ya kuingia teknolojia na uhandisi wa ujenzi duniani,huwezi kujenga jengo lolote mijini,bila kuwa na mchoro maalumu wa jengo lako,na mchoro unachorwa na wachoraji wa ramani za majumba,atakachochora mchoraji,kikiwa na vigezo vya kiuhandisi,ndio hupitishwa na mipango miji,na ndio jengo huanza kujengwa,kwa kukabidhiwa mjengaji,mjengaji hujenga kwa kufuata mchoro wa nyumba.Mchora ramani ndio anayekushauri kwenye jengo vitu mbalimbali,vya jengo lako.Hawa wa
choraji ramani ndio wanaoshauri,kuweke alama hizi,ili kuwe na wepesi wakutambua jengo ni la ibada.
Hilo jengo unaloliona la msikiti wa Mecca,sio jengo aliloswalia Mtume Muhammad,ila eneo ndio hilo,lakini kila miaka linapanuliwa,na kuzidi ukubwa,kutokana na ongezeko wa wauminiwa.
Unaposema wanaofika hapo nibwaislamu tu,kwa nini iwekwe alama hiyo?Dunia imeendelea,hilo jengo unaloliona wapo ambao sio waislamu,wamefika hapo kwa njia ya Media,TV,Magazeti,mitandao,Picha mnato,video na njia mbali mbali.Kwa hiyo wanapoona,hata wakiwa anga za jua ,wanajuwa hapo ni nyumba ya ibada.

Wakati wa Muhammad kulikuwa hakuna technolojia yoyote kweli?, muhammad wa juzi tu hapo,
 
Back
Top Bottom