Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Una haraka ya nini kuuliza kuhusu mimi.Watakapo amua kuwasiliana na wewe,watawasiliana na wewe kwa njia zao,hapo sasa ndio utaelewa,wanawasiliana vipi.Ni kama wewe,ulivyoamua kuwasiliana na mimi hapa jf,na wao wanao njia zao pia.

hizo ni habari za kufikirika hata gwajima anawaambiaga waumini wake kua mungu kasema nae hivi na vile na mwisho wa siku anawapiga mabilioni......huo ujinga wa kuamini visivyokuwepo nimewaachia nyinyi...
 
sina utamaduni wa kuaminishwa na kukubali kila ninachoambiwa bila kutumi my faculty of reasoning and creative imagination.....hivyo naona kama unampigia mbuzi gitaa.
Unachoambiwa huwa kinajikubali wenyewe kwako,bila wewe kukukikubali,kama wewe ulivyokubali kuwasiliana na mimi,kabla mimi sijakubali kuwasiliana na wewe.
 
hizo ni habari za kufikirika hata gwajima anawaambiaga waumini wake kua mungu kasema nae hivi na vile na mwisho wa siku anawapiga mabilioni......huo ujinga wa kuamini visivyokuwepo nimewaachia nyinyi...
Kwa hiyo na mimi,nikuachie wewe,hivyo ulivyonambia ulizaliwa na wazazi,nisikubali kama umezaliwa na wazazi.
 
mimi wazazi wangu wapo ukitaka nitakuonyesha na ukitaka tunaweza hata kupima dna kuhakikisha na wewe nipe prove ya huo ujinga unaouita mungu na shetani umeutoa wapi na unaweza unanithibitishia wawili hao wanapatikana wapi na nini chanzo cha uhasama wao?
 
mmeamini mnayoyajua au mmeaminishwa ili mtawaliwe kifikra?

Nina iman na dini yangu kwasababu ni ya haki na ni dini yenye kitabu kilicho kamilika(kilicho fafanua yalio pita,yaliyopo na yajayo) hakika hakuna anae paswa kuabudiwa haki ila allah ,nahakuna kitabu cha dini kilicho kamilika zaidi ya Qur-an ndio maana baada ya Taurat,zaburi,injili ikashushwa qur-an ili kukamilisha
 
mimi wazazi wangu wapo ukitaka nitakuonyesha na ukitaka tunaweza hata kupima dna kuhakikisha na wewe nipe prove ya huo ujinga unaouita mungu na shetani umeutoa wapi na unaweza unanithibitishia wawili hao wanapatikana wapi na nini chanzo cha uhasama wao?
Ndio jiulize hao wazazi wako na hiyo DNA,imejitengeneza vipi,ikawa DNA,na wazazi wako,wamejitengeneza vipi wakawa wazazi wako.
 
Nina iman na dini yangu kwasababu ni ya haki na ni dini yenye kitabu kilicho kamilika(kilicho fafanua yalio pita,yaliyopo na yajayo) hakika hakuna anae paswa kuabudiwa haki ila allah ,nahakuna kitabu cha dini kilicho kamilika zaidi ya Qur-an ndio maana baada ya Taurat,zaburi,injili ikashushwa qur-an ili kukamilisha

qur an ilishishushwa? na vipi kuhusu wale wanawake wa peponi wazuuri wenye macho kama vikombe na kila ukipiga miti bikra inarudi? vipi kuhusu wanawake na wao watakutana na madume ya peponi kwajili ya kuwashughulikia?
 
Ndio jiulize hao wazazi wako na hiyo DNA,imejitengeneza vipi,ikawa DNA,na wazazi wako,wamejitengeneza vipi wakawa wazazi wako.

kwahiyo kwa mfano kama baba yako hua ana noti za elf 10 nyingi, siku ukikutana na elf 10 njiani je utatulazimisha kua tuamini niya baba yako? kama ilidondoshwa na gari la mishahara?kutokujua jibu la swali gumu sio sababu ya kutengeneza majibu yako mwenyewe...
 
qur an ilishishushwa? na vipi kuhusu wale wanawake wa peponi wazuuri wenye macho kama vikombe na kila ukipiga miti bikra inarudi? vipi kuhusu wanawake na wao watakutana na madume ya peponi kwajili ya kuwashughulikia?

hii ni Aya au Hadithi nakama ni Hadithi imepokelewa nani na kama umesikia kaulize aliyekuambia yeye amepata hadith hiyo wap ?
 
kwahiyo kwa mfano kama baba yako hua ana noti za elf 10 nyingi, siku ukikutana na elf 10 njiani je utatulazimisha kua tuamini niya baba yako? kama ilidondoshwa na gari la mishahara?kutokujua jibu la swali gumu sio sababu ya kutengeneza majibu yako mwenyewe...
Inaonyesha umeanza kuelewa,kuwa kila unachokiona yupo aliyekifanya kiwepo mpaka wewe ukakiona.Kwa hiyo kuwako wazazi wako,kuwako wewe na kuwako na DNA,yupo aliyefanya vyote hivyo viwepo.Iliyobakia ni kujiuliza ni nani,aliyefanya viwepo,Kama wazazi ni wako,na wasiwe wazazi wa mwingine,na kama wewe ni mtoto ni wao,kwa nini usiwe mtoto wa mwingine,kama ni DNA,kwa nini iwe sawa na wazazi wako,usiwe sawa na ya mzazi mwingine.Ndio mawasiliano ya Mungu hayo,anavyowasiliana na binadamu kuonyesha yupo.
Na ndio mfano huo huo,tunavyowasiliana,mimi na wewe hapa jf,tunawasiliana mimi na wewe kupitia ID zetu,bila kupitia kwa asiyekuwa sisi.Yupo aliyefanya mawasiliano haya,yawe hivyo.
 
Inaonyesha umeanza kuelewa,kuwa kila unachokiona yupo aliyekifanya kiwepo mpaka wewe ukakiona.Kwa hiyo kuwako wazazi wako,kuwako wewe na kuwako na DNA,yupo aliyefanya vyote hivyo viwepo.Iliyobakia ni kujiuliza ni nani,aliyefanya viwepo,Kama wazazi ni wako,na wasiwe wazazi wa mwingine,na kama wewe ni mtoto ni wao,kwa nini usiwe mtoto wa mwingine,kama ni DNA,kwa nini iwe sawa na wazazi wako,usiwe sawa na ya mzazi mwingine.Ndio mawasiliano ya Mungu hayo,anavyowasiliana na binadamu kuonyesha yupo.

sasa wewe una ushahidi gani kama vimefanywa na huyo unamuita mungu? mungu ninani au akina nani na pia ana sifa gani? na yapi ni malengo yake ya kumuumba binadam na shetani? kwanini kama wapo hao wawili hawaonekani nahabari zao niza kufirika tu?
 
Wewe ulikuwa na uhakika gani hao,unaowaita wazazi wako,kama ni wazazi wako.
 
wapo ninawaona naishi nao nakula nao na nikiwa na swali lolote kuhusiana na wao kuwa wazazi wangu wananijibu tena kwa kunipa ufafanuzi mwanana, sasa huyo mungu wako kama yupo kwanini waumini wa dini zote mmegawanyika kwenye makundi mengi wengine mnasali ijumaa, jumamosi na jumapili? huko huko kwenye uislam kuna wengine mnajiita ma suni, qadiria, answar sunna, shia mpaka ahmadia kwanini asitumie umungu wake kuwaonysha ukweli ili muungane muwe kitu kimoja? kwanini waislam mnawaua makafiri kwa kupitia vikundi vyenu kama islamic state, boko kharam, alshabab na alqaeda? mungu asie na nguvu ya kuwatetea masikini na wanyonge?
 
Kwa hiyo wewe,akili inakuelekeza,ni wazazi wako tu ndio wanauwezo kukumiliki wewe,lakini vingine unavyoviona havina mwenyewe.
Kugawanyika hata,kuwa madhebu tofauti,ndio hivyo hivyo hata wewe kama mmezaliwa wengi,mtangawanyika,wengine Madaktari,wengine waalimu,wengine wahandisi,wengine wafanya biashara,kwa hiyo mkazaliwa na wazazi mmoja,mkiwa tofauti kimaisha,hao hawatakuwa wazazi wenu?
Hata huko kwenu mliko zaliwa,na wazazi wenu,hamuwezi kuwa sawa,wapo wapole,wapo wakorofi,wapo waongo,wapo wagomvi.Kwa hiyo wote hao sio watoto wa wazazi mmoja?
Na hawa hawa waliogawanyika,ndio hawa hawa,wanagawanyika katika dini,kimtizamo.
 
wapi nimesema kua wazazi wangu ndio wanaonimiliki? jibu hoja kuhusu mungu na shetani na nguvu zake za kimungu zina ukomo gani na anasifa gani?
 
Sio lazima useme,kinachomilikiwa kinajionyesha,kwa mwenye kutumia akili sawa sawa anajuwa.
Kama wewe unavyojijuwa nguvu zako na zina ukomo gani,na ndio hivyo hivyo kwa mwengine anavyojuwa nguvu na ukomo wa nguvu zake.
 
Sio lazima useme,kinachomilikiwa kinajionyesha,kwa mwenye kutumia akili sawa sawa anajuwa.
Kama wewe unavyojijuwa nguvu zako na zina ukomo gani,na ndio hivyo hivyo kwa mwengine anajvyojuwa na nguvu na ukomo wa nguvu zake.

tunaongelea nguvu za mungu kama yupo
 
Back
Top Bottom