CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,396
- 5,011
IccMahakama ipi? Hizi za ccm?
IccMahakama ipi? Hizi za ccm?
Al- Bashir ameanza kushughulikiwa na watu wake kwanza, Rodrigo Duterte - Ufilipino na Charles McArthur Ghankay Taylor - Liberia wameshughulikiwa baada ya kutoka madarakani. Hao wengine bado wapo madarakani, unadhani wataendelea kutawala milele? Safari yao ya majuto na malipizi itaanzia siku watakapotoka madarakani tu. Time will tellAhmed Haroun, Benjamin Netanyahu, Yoav Gallant, Vladimir Putin, Min Aung Hlaing n. K
Hata huyo al- Bashir hayuko icc
Huyo hatoki bila ya damu ya kutosha kumwagika na ninacho waakikishia, kama akifanikiwa kuongoza miaka mitano ijayo basi atafanya ushenzi ambao hakuna mtu hata amini macho wala masikio yake ni lazima hata anza vuguvugu la damu na rushwa na uchawa kutaka kuongoza hadi 2035 au la.... ndugu yake au mtoto wake ..kwa nini atafanya hivyo? ni kwa sababu hadi mwishoni mwa hiyo miaka atakuwa kachafua sana nchi kwa damu ...ufisadi uovu wote mauaji nk... hivyo kuachia madaraka itakuwa si salama kwa yeye na wale walio chafua nchi pamoja naye....hivyo hofu ya kupatilizwa itakuwa kubwa juu yao ...hivyo kwa pamoja wata azimia kumbakisha madarakani kwa kisingizio cha miaka yake 10 nje ya ile minne ya jpmSamia must Go
Nilitegemea unikosoe kuwa hao niliowataja hawajatolewa hati na icc.Al- Bashir ameanza kushughulikiwa na watu wake kwanza, Rodrigo Duterte - Ufilipino na Charles McArthur Ghankay Taylor - Liberia wameshughulikiwa baada ya kutoka madarakani. Hao wengine bado wapo madarakani, unadhani wataendelea kutawala milele? Safari yao ya majuto na malipizi itaanzia siku watakapotoka madarakani tu. Time will tell
Naendelea kuamini kuwa wana CCM na baadhi ya viongozi wa Serikali wanampiga vita Mama kwa njia ambazo wanaonekana wako pamoja naye.Wanafanya hivyo kwa makusudi ili aharibikiwe.Daah sijui nani anamdanganya Mama yaani katika vitu rahisi ni kuongoza Tanzania hata hao wakina Chadema asingetumia nguvu kubwa wangepata Ubunge tu na maisha yangeendelea kwa hiki anachokifanya kupitia jeshi sio kizuri kimetuchafua sana Kimataifa ile heshima ya Tanzania iliyojengeka kwa muda mrefu kutoka kwa Mwasisi Mwalimu JK Nyerere imebomoka sana.
Rodrigo Duterte alikuwa kama mungu huko Ufilipino. Wapinzani wake alipaa nao angani kwa kutumia chopa na kisha kuwaachia hewani na kupasuka vipande vipande. Mungu mkubwa leo hii yuko huko anajibu mashitaka yake.Umetaka mifano Nimekupa, hayo mengine jifariji tu.
Nikitegemea unikosoe kuwa hao nikiowataja hawajatolewa hati na icc.
Hizi story hazinisaidii.Rodrigo Duterte alikuwa kama mungu huko Ufilipino. Wapinzani wake alipaa nao angani kwa kutumia chopa na kisha kuwaachia hewani na kupasuka vipande vipande. Mungu mkubwa leo hii yuko huko anajibu mashitaka yake.
Ushauri mzuri sana huu,huu ndo muda wa kuuangusha utawala wa mzanzibar na CCM yakeHakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).
Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.
Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.
Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.
Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.
Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.
Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.
Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.
View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B
Durtete alimpa kesi Mnaigeria ya Unga na kumuua kisa alikua ana urafiki na viongozi wa chama cha upinzani Rais wa Nigeria wa wakati huo alituma watu kwa ushahidi na kumuomba ikiwezekana afungwe jamaa alikataa akamchapa risasi hadharani na kile kikosi chake alivyoambiwa anatakiwa huko The Hague alidhani ni utani yupo huko..Rodrigo Duterte alikuwa kama mungu huko Ufilipino. Wapinzani wake alipaa nao angani kwa kutumia chopa na kisha kuwaachia hewani na kupasuka vipande vipande. Mungu mkubwa leo hii yuko huko anajibu mashitaka yake.
Mama yako Samia amechinja akina Soka, Mdude na kuua kikatili akina Mzee Kibao na wengineo wengi. Hawezi kutawala milele, ATAFIKIWA TU.
Tanzania haichezewi tena,wazidi kutangaza ili wapumbavu wengine,waogope kuleta upumbavu wao hapa Tznzania.Mtu atoke nchi nyingine alete ujinga Tanzania.Safi sana wana usalama Tanzania.Tandika kabisa hao wehu.Mama muda wote akihutubia Taifa anakua na jazba wahuni wanamtengenezea mazingira tu ili waibe hao wanasheria wanaotengeneza kesi huko mahakamani hakuna kitu wanajua zaidi ya kutumia polisi hao hao kusema upelelezi haujakamilika na kupeleka tarehe za mbali huko ili kusikiliza kesi yenyewe..
Hotuba inandaliwa na hawara, serengeti boy wake unatarajia itakuwaje? Yeye kazi yake ni kuisoma tu huku akiwa CHAKARI kwa pombe.Mama muda wote akihutubia Taifa anakua na jazba wahuni wanamtengenezea mazingira tu ili waibe hao wanasheria wanaotengeneza kesi huko mahakamani hakuna kitu wanajua zaidi ya kutumia polisi hao hao kusema upelelezi haujakamilika na kupeleka tarehe za mbali huko ili kusikiliza kesi yenyewe..
Hakuna kuleta upumbavu,vyombo vya usalama ,viwatandike hao wapumbavuHearsay?
Una akili vizuri wewe??
Unasemaje hearsay wakati records zipo kabisa za wapinzani wa kisiasa waliochukuliwa na vyombo vya dola na kuuwawa na wengine kupotezwa hawajulikani walipo hadi leo?
Kama Kenya hakuna aliyefanya such move kuwaomba wachunguze, haimqanishi Tanzania pia tusifanye hiyo move!
Mahakama ya Kimataifa inaweza kuanzisha uchunguzi wenyewe wa makosa ya Jinai kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa endapo itaombwa kufanya hivyo.
I don’t know what the morning news are reporting in your world.
Huku kwetu ‘Pepper Pig’ has a little sister named ‘Eve’ndio habari ya week hii
View: https://m.youtube.com/watch?v=9PCcRiaUG80
Sasa ukiona Pepper Pig anachukua headline maana yake hakuna interesting news kwa mtazamo wa mabeberu duniani.
Hao wakenya waache fujo nchi za watu
I don’t know what the morning news are reporting in your world.
Huku kwetu ‘Pepper Pig’ has a little sister named ‘Eve’ndio habari ya week hii
View: https://m.youtube.com/watch?v=9PCcRiaUG80
Sasa ukiona Pepper Pig anachukua headline maana yake hakuna interesting news kwa mtazamo wa mabeberu duniani.
Hao wakenya waache fujo nchi za watu