Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Daah sijui nani anamdanganya Mama yaani katika vitu rahisi ni kuongoza Tanzania hata hao wakina Chadema asingetumia nguvu kubwa wangepata Ubunge tu na maisha yangeendelea kwa hiki anachokifanya kupitia jeshi sio kizuri kimetuchafua sana Kimataifa ile heshima ya Tanzania iliyojengeka kwa muda mrefu kutoka kwa Mwasisi Mwalimu JK Nyerere imebomoka sana.
Sidhani kama wanajali
 
Ukiona jinsi wanawake wanavyo-treat housegirls au watoto wa kambo ndio utajua wanawake ni viongozi wa aina gani.

Insecurities, emotions, ego, roho mbaya, ukatili.

Imagine, hiyo nguvu iliyotumika kwasababu ya hao wanaharakati 6??
 
Kwani hawana ushahidi? Taarifa za Waliotekwa zipo hata humu JF. Kuna uzi humu utafute kuku wewe.
Taarifa sio ushahidi.
Kama hao viongozi unaowashauri wana ushahidi na bado wamekaa nao basi ni vihande. Wana hisi kama unavyohisi wewe ila ushahidi hawana.
Ya mdude mpaka waliweka kambi, now wamehamia kwao. Ndio ujue ni mihemko tu.
 
Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).

Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.

Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.

Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
 
Taarifa sio ushahidi.
Kama hao viongozi unaowashauri wana ushahidi na bado wamekaa nao basi ni vihande. Wana hisi kama unavyohisi wewe ila ushahidi hawana.
Ya mdude mpaka waliweka kambi, now wamehamia kwao. Ndio ujue ni mihemko tu.
Kumbe wewe ni zwazwa

Kama Taarifa sio ushahidi ushahidi ni nini?

Yaani itangazwe mdude katekwa, watu waseme mdude katekwa alafu useme sio ushahidi

Endelea kufanya kazi ya Makalla hapo Lumumba
 
Hakuna aljazeera wala Udaku jua linakuchwa jahazi la Chadema linazidi kuzama na msaada huo wa kusikiliza matangazo mwisho wa habari mtakuja kusikia matangazo ya kifo cha Chadema.
Ndio ninavyo juwa kuwa baada ya habari kuna matangazo ya kifo na kwa habari za mjini Chama gani kipo mahututi na kimetupwa nje kwenye uchaguzi , Mheshimiwa Lisu wiki hii huenda akapelekwa spitali kupimwa akili na ndio anaweza kuepuka muendeleza wa kesi yake.
 
Ukiacha ujingaujinga utasikilizwa.
Ujinga huko wapi hapo, hiyo ndio habari ya western media week hii.

Pepper Pig has a sister and, mother Pig is doing well apparently. Tafuta media kubwa ya nchi yeyote duniani uliża utaona article au video.

Uliżą tena kinachoendelea Tanzania sio wengi wanajua.
 
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.

Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.

Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.

Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.

Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.

Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.

View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B

Hatuna Nchi kwa sasa. Tuna Gulio la Katerero watu wanajichotea mapesa ya umma.
 
Yaani inaumiza sana watu wanaacha familia zao zikiteseka kisa uongozi na huo uongozi wenyewe hakuna wa kuuchukua kwa kipindi cha karibuni labda ubunge yaani pana muda hautakia hata kuangalia news za Tanzania maana ni kutekana na kuuana kila kukicha kwa vitu ambavyo visivyoeleweka..
Tatizo chadema kinafanya siasa uwanja wa vita ....badala ya kufanya strategic hit back na ujasusi ....chadema kinafanya siasa badala ya kupigania uhuru(freedom fighter)..... Tz tupo katika hatua ya kupigania uhuru bado atujafikia hatua ya kupigania democracy, ila chadema na upinzani kwa ujumla wanadhani tupo kwenye kupigania democracy hivyo wamekosea formation ya kimapigano....unatakaje nyara za adui yako kabla ya kupigana vita ?! Nonsense.
 
Tupe mfano wa mtu angalau mmoja ambaye anadunda hadi sasa baada ya hati kutolewa. Wako wapi akina Omar Hasan al-Bashir - Sudan, Rodrigo Duterte - Ufilipino, Charles McArthur Ghankay Taylor - Liberia, n.k?
Ahmed Haroun, Benjamin Netanyahu, Yoav Gallant, Vladimir Putin, Min Aung Hlaing n. K
Hata huyo al- Bashir hayuko icc
 
Ukiona jinsi wanawake wanavyo-treat housegirls au watoto wa kambo ndio utajua wanawake ni viongozi wa aina gani.

Insecurities, emotions, ego, roho mbaya, ukatili.

Imagine, hiyo nguvu iliyotumika kwasababu ya hao wanaharakati 6??
Kwanza hata huyo Lissu ana madhara gani mpaka wapo busy kupelekana jela baada ya kutumia muda mwingi wa kufikiri kujenga Nchi sema wahuni waliomzunguka wanamdanganya sana Mother ili wao waendelee kuiba tu kwenye matumizi ya kijinga ambayo wanatengeneza mimi siamini kama Mama hajui kuwa anadanganywa au inakuaje..
 
Tatizo chadema kinafanya siasa uwanja wa vita ....badala ya kufanya strategic hit back na ujasusi ....chadema kinafanya siasa badala ya kupigania uhuru(freedom fighter)..... Tz tupo katika hatua ya kupigania uhuru bado atujafikia hatua ya kupigania democracy, ila chadema na upinzani kwa ujumla wanadhani tupo kwenye kupigania democracy hivyo wamekosea formation ya kimapigano....unatakaje nyara za adui yako kabla ya kupigana vita ?! Nonsense.
Yaani inaumiza sana kama Mdude wamemchukua wamemuua basi yaani huo ukatili hata Soweto na Tembisa ya Johannesburg hakuna aisee sijui tumetoa wapi unyama wa namna hiyo maana wapo watu wakiamua kulipiza kisasi hapo hapatakalika kabisaa..
 
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.

Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.

Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.

Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.

Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.

Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.

View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B

Chura kiziwi
 
Kumbe wewe ni zwazwa

Kama Taarifa sio ushahidi ushahidi ni nini?

Yaani itangazwe mdude katekwa, watu waseme mdude katekwa alafu useme sio ushahidi

Endelea kufanya kazi ya Makalla hapo Lumumba
Zwazwa wa kwanza ni baba na mama yako.

Imetangazwa katekwa, una ushahidi wa nani kamteka? Hata majambazi yanateka.

Usifikiri kwa kutumia mahaba
 
polisi wamekana kuwa sio wao.kama kawaida yao.
Tungekuwa ni umiliki wa silahaa unatoa hata kafara ili wasiwe wanakana
Hukumbuki wahuni wa Tegeta walipowatengua nyonga wakaja mbio kudai ni Tra? Wale wakifanikiwa hawajulikani wakiingia kwenye 18 sasa hivi unaambiwa walikua ni wafanyakazi wa Tanesco walikuja kudai bili
 
Kwanza hata huyo Lissu ana madhara gani mpaka wapo busy kupelekana jela baada ya kutumia muda mwingi wa kufikiri kujenga Nchi sema wahuni waliomzunguka wanamdanganya sana Mother ili wao waendelee kuiba tu kwenye matumizi ya kijinga ambayo wanatengeneza mimi siamini kama Mama hajui kuwa anadanganywa au inakuaje..
Lissu hana madhara yoyote kwa mwananchi.

Kesi ya Lissu ni vita ya madaraka tu, kutokana na insecurities, panic na hofu ya mtawala.
 
Hakuna haja ya kufika huko. Hawa dawa yao ni kuchunguzwa na ICC na badae zinatolewa rasmi Hati za Kuwakamata.

Hati zinatolewa kumkamata Samia, DGIS, IGP, Kamishna Awadh, SACP Mafwele, RC Mbeya Homera, Waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Rais Wazir Salum.
Kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom