Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Broo endelea kuwaandikia CHADEMA huu ni muda sahihi kabisa kwao kufile kesi ICJ kwa maana watu wengi wameuwa na kupotezwa na serikali hii. ICJ wanaweza wakasaidia nchi hii kujitoa kwenye makucha ya CCM
ICJ sio 😁😁
 
Kinachoniumiza Mimi zaidi ni kuuza Mali za nchi kwa waarabu na mabeberu kwa kubadilishana na damu za Watanzania

na hapo ndipo catch ilipo ni interest za watu, uraisi huu umebeba maslahi ya watu na ndiyo ambao hawataki apumzike liwalo na liwe kwa sababu atakayekuja hatabiriki, hii ya kuwekeza kwenye mipira ni kuwapumbaza tu msione kilichombele yenu, mbakie kubishana simba na yanga huku wakichota, utakuta yeye mwenye wala mpira hapendi na wala haelewi football ni nini …
 
Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).

Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.

Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.

Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Huu ni ushauri bora zaidi mwaka huu..
 
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.

Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.

Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.

Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.

Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.

Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.


View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B

 
Kinachoniumiza Mimi zaidi ni kuuza Mali za nchi kwa waarabu na mabeberu kwa kubadilishana na damu za Watanzania
Kinachoniuma zaidi ni ndugu zetu kutekwa na kuuwawa, mfano waliouwawa na kuacha watoto wadogo majumbani. Haya mambo yanahitaji ICC tu.
 
Mtu mjinga akipewa power huwa ni hatari sana, wakati wote huwa hajiamini kabisa!
Anatumia hata bunduki kuua sisimizi!
 
Hati zikitolewa tatizo linaisha?
Wangapi hati za kukamatwa zilitolewa mpaka leo wanadunda tu.

Kesi inahitaji ushahidi sio hizo claims.
Hati zikitolewa watakua wanyonge na kukosa uhuru wa kuzulula hovyo, we unafikiri Viongozi wakizuiwa wasiende Ulaya si wataumwa.
 
Hakuna aljazeera wala alkinani jua linakuchwa jahazi la Chadema linazidi kuzama na msaada huo wa kusikiliza matangazo mwisho wa habari mtakuja kusikia matangazo ya kifo cha Chadema.
Ndio ninavyo baada ya habari kuna matangazo ya kifo na kwa habari za mjini Chama gani kipo mahututi na kimetupwa nje kwenye uchaguzi ,Lisi wiki hii huenda akapelekwa spitali kupimwa akili na ndio anaweza kuepuka muendeleza wa kesi yake.
 
Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).

Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.

Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.

Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Naam!
Ifanyike haraka kuwapa fundisho kwa wengine.
 
Daah sijui nani anamdanganya Mama yaani katika vitu rahisi ni kuongoza Tanzania hata hao wakina Chadema asingetumia nguvu kubwa wangepata Ubunge tu na maisha yangeendelea kwa hiki anachokifanya kupitia jeshi sio kizuri kimetuchafua sana Kimataifa ile heshima ya Tanzania iliyojengeka kwa muda mrefu kutoka kwa Mwasisi Mwalimu JK Nyerere imebomoka sana.
Watubkati msio shida ujaona watu wameomba billion 15 kwa kazi maalum kila mtu anatafuta ugali kwa nguvu sana kutoka kwa huyo mama..
Wanamrubuni sana.
 
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.

Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.

Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.

Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha Al Jazeera kufanya kazi nchini.

Si vigumu kuona kuwa siku za Al Jazeera nchini, zinahesabika.

Tayari sisi ni banana republic. Pia, muda si mrefu tutakuwa ni ‘pariah state’, endapo mambo hayatobadilika haraka.


View: https://youtu.be/0c-Puhlmobo?si=h-qjaw3giJFCsE1B


Kuna msemo wa ki Latin 'Cui Bono' maana yake ni nani anafaidika? Kila kitu katika siasa lazima ukiangalie kwa kutumia msemo huo.

Tanzania ikiwa 'pariah state' au ikivurugika kabisa ni nani anafaidika? Jibu ni Kenya. Kenya ndiyo mshindani mkubwa wa Tanzania katika sekta ya uchumi. Bandari ya Dar na Mombasa zinashindana. Vivutio vya kitalii kama mbuga za wanyama, Fukwe za bahari, za Kenya na Tanzania zinashindana. Kwenye kuvutia uwekezaji pia tupo kwenye mashindano.

Hii ni ile vita ya uchumi aliyokuwa anaongelea Magufuli inaendelea. Usifikiri Mkenya anakuja kupigania haki za Watanzania. Anakuja kwa maslahi ya Kenya.
 
polisi wamekana kuwa sio wao.kama kawaida yao.
Tungekuwa ni umiliki wa silahaa unatoa hata kafara ili wasiwe wanakana

Hawa wahalifu wa siku hizi ambao hawakamatiki...very very interesting. Inawezekana ni majini au mashetani fulani ambayo hayaonekani
 
Hati zikitolewa watakua wanyonge na kukosa uhuru wa kuzulula hovyo, we unafikiri Viongozi wakizuiwa wasiende Ulaya si wataumwa.
Hagi hazitolewi kw matamanio na hisia.
Evidences matter
 
Back
Top Bottom