Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

Ukatili ukatili ukatili ndio uliomfanya bwana yule kati ya Marais wote hakumaliza muula wake ,huyu hajifunzi anapita kulekule alikopita mwenzake.Marais waliopita waliondoka madarakani bila kuwa na maadui ila hawa wa sasa nani atawatetea wakati wa tabu?
 
Hao wapumbavu kutoka Kenya ndio wakushtakiwa limataifa.Utoke nchi nyingine uje ufanye fujo nchi nyingine.Hiyo mahakama ya kimataifa hata raia wa kawaida anashtakiwa.
Hiyo fujo mnayoongelea ni ipi kwa mfano hivi nyie mkishapewa buku saba mnakiwaga hamna akili za akiba?
 
Uwezi kufanya political activism katika nchi ambayo wewe sio raia katika ardhi yao.

Ongelea dissatisfaction żako ukiwa kwenu sio kwenye nchi za watu.
What did he do exactly? Hiyo political activism kaifanya wap na when ? Kuna ushahidi ? Na kama ukweli kafanya kuna sheria za kumshitaki? Kumpiga na kumtupa kwao kwa kutumia askari wetu was it justified?... Kwan no mara ya kwanza watu kutoka nje ya nchi moja kwenda nyingine kusikiliza kesi?...
 
Naendelea kuamini kuwa wana CCM na baadhi ya viongozi wa Serikali wanampiga vita Mama kwa njia ambazo wanaonekana wako pamoja naye.Wanafanya hivyo kwa makusudi ili aharibikiwe.
Kwa sasa ni hakika naye anatakiwa agundue jambo hilo ili ajinasue.
Kama hadi sasa hajagundua basi hagundui tena!
 
Hakuna haja ya kufika huko. Hawa dawa yao ni kuchunguzwa na ICC na badae zinatolewa rasmi Hati za Kuwakamata.

Hati zinatolewa kumkamata Samia, DGIS, IGP, Kamishna Awadh, SACP Mafwele, RC Mbeya Homera, Waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa, Katibu wa Rais Wazir Salum.
Hii naingoja sana one day
 
Tatizo chadema kinafanya siasa uwanja wa vita ....badala ya kufanya strategic hit back na ujasusi ....chadema kinafanya siasa badala ya kupigania uhuru(freedom fighter)..... Tz tupo katika hatua ya kupigania uhuru bado atujafikia hatua ya kupigania democracy, ila chadema na upinzani kwa ujumla wanadhani tupo kwenye kupigania democracy hivyo wamekosea formation ya kimapigano....unatakaje nyara za adui yako kabla ya kupigana vita ?! Nonsense.
Du!
 
Hakuna kitu rahisi kwa sasa kama kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Samia na Viongozi wa vyombo vya dola vya Tanzania kwa makosa dhidi ya Ubinadamu ya Enforced disappearance na Extra Judicial killings (Murder).

Kwa namna anavyotangazwa duniani kwa sasa tena na vyombo vikubwa kabisa vya habari duniani, ni move moja tu ya Chadema kwenda ICC inamaliza hili Jambo. Ndani ya muda mfupi tutaona Hati za Kukamatwa zimetolewa dhidi ya Samia na Viongozi wake wa vyombo vya dola.

Nimewapa ushauri wangu Chadema. Kama wako Serious kweli kuibadilisha Tanzania wakomae sasaivi na kuiomba ICC kuanzisha Uchunguzi rasmi.

Watumie Wanasheria wa ndani na nje ya nchi kulikamilisha hili.
Broo endelea kuwaandikia CHADEMA huu ni muda sahihi kabisa kwao kufile kesi ICJ kwa maana watu wengi wameuwa na kupotezwa na serikali hii. ICJ wanaweza wakasaidia nchi hii kujitoa kwenye makucha ya CCM
 
Wamempiga kwa njia ya online siyo? Aliepigea hana ngeu hata moja polisi wa Tz wameanza lini huo udhaifu? Ilitakiwa macho yavimbe asione hata mbele
 
Hao viongozi wakirudi ofisini, waanze tena kuandikisha wanachama. Jana 3000 wamesepa😂
Kwa akili yako hawa unaona ni wanachama wa CDM ama MAMLUKI WA MITAANI TU? Tumia akili japo kidogo
VIGOGO CDM.jpg
 
Hakuna amani kwenye kuwateka, kuwaua na kuwapoteza watu.
Hapo kuwateka wakenya tayari ni ushahidi tosha. Tena kwenye airport na kuwabeba na kukaa nao bila nchi zao kujua. Wageni lazima watakuwa na wasiwasi kuja Tanzania
 
Durtete alimpa kesi Mnaigeria ya Unga na kumuua kisa alikua ana urafiki na viongozi wa chama cha upinzani Rais wa Nigeria wa wakati huo alituma watu kwa ushahidi na kumuomba ikiwezekana afungwe jamaa alikataa akamchapa risasi hadharani na kile kikosi chake alivyoambiwa anatakiwa huko The Hague alidhani ni utani yupo huko..
Kwa siku za mbeleni kuna watu watenda huko inaanzaga kama utani tu sasa kama akina Durtete na Bemba yule wa Congo waliitwa huko hujiulizi wewe one day yanaweza kukukuta na hao wanaokussoprt hutawaona hata mmoja huku mahakama ya kimataifa utabaki wewe na familia yako
 
Back
Top Bottom