Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,814
- 110,068
Kweli ubinadamu kazi....we dada wa KIPARE mchonganishi khaa!!
akili yangu inanituma waklikushughulikia na walifaidi sna hahahahaahahahahahah aise shikamoo Mtambuzi ila hapa huwezi sema we bna viguvu vyako vya grants utoe wapi nguvu yakumrukia mtu nahisi walikurukia wakakudondosha chini pole sana mkuu wangu
walikuwa wameshaivulia na mashati hahaahahahahahahahahahhaaaa
Mtambuzicome here '''''heri mimi sikusema''' unakumbuka hiki kiadithi cha darasa la pili wale wajamaa waliojificha chini ya nyasi ?
na akome huyu Mtambuzi na vi thread vyake vya utata watu weshaamini uliliwa hahahahahahhahahaahahahahahaha haha wakati anapost hakujua msumeno unakata pande mbili akajua itakula kwa mtu kumbe ikala kwake hahahaahahah nimefurahi sana leo hahahahahaahahahhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhhh
heri mimi sikusema Mtambuzi msumeno huoooooooooo