Ulitaka niseme nilishughulikiwa..............?
Ushindwe kabisa mwana izaya.................LOL
mimi sio mpareeee na sipendi kuitwa mpare ,baba na mama yangu sio sina damu ya kiparee period!!!!!!kweli ubinadamu kazi....we dada wa kipare mchonganishi khaa!
kheheheheheh baba usinichonganishe na mtambuzi mie
Hahahaaa ila kuna watu wanasema inawezekana alipata vyote ila ili kulinda heshima kwa mama Ngina kaamua kupunguza makali lol
Copy kwa Mtambuzi
Heeee mbona umekuwa mkali kuitwa mpare, kulikoni dada yangu....mimi sio mpareeee na sipendi kuitwa mpare ,baba na mama yangu sio sina damu ya kiparee period!!!!!!
Hivi kweli wadau wa upande wa pili mtusaidie,
Hicho alichofanya mwenzenu cha kwenda kumsemelezea Mzee mwenzangu Mtambuzi kwa mume wake ni sawa??? Au kwa vile alikuwa bado under age kama yule mdau wetu aliyeingiza mjini at 17yrs??
Enzi zangu, mwanamke wa kuniletea mashtaka kama hayo wala sijui kama ningemtaka....!!
cc.. Madame B, Smile, @FP, snowhite....!!
Yeah, umenikumbusha wanaita NDONGA, na kule Arusha tunaita KICHWA CHA MCHOMOKO, yaani mtu unafyatuka kama mtego, na ukimpata adui yako lazima atoe kamasi la kijani.....LOLAhahaahah..Hiko sio kichwa Tanga wanaita Ndonga.Babu ana busara sana uyo sipati picha angekuacha ugandane.
Ahahahah..mkuu umetisha.Yeah, umenikumbusha wanaita NDONGA, na kule Arusha tunaita KICHWA CHA MCHOMOKO, yaani mtu unafyatuka kama mtego, na ukimpata adui yako lazima atoe kamasi la kijani.....LOL
Nilimtandika nacho akaenda chini, nilipotoka hapo waliona kisogo tu....
Mimi nawashangaa wanavyonizushia maana nilicoandika ni kingine lakini watu humu hawaishi kupindisha ili kujifurahisha.Naamini wengi humu ndani ni watu wazima. Hivi mnataka mzee mzima hicho kipengele alichokiacha akiweke hadharani? Je huo ni utamaduni wetu kweli? Mwenye masikio na asikie. Minjemba miwili iliyokuja kikazi kuachia nafasi hadi jamaa aruke kichwa na kutoroka... hapo pana walakini.Anyway,pole lakini. Ulitakiwa machale yakucheze tangu Mwenye Nyumba alipokuita na kukutambulisha.