it was before my time hapa duniani.ati?unasema?
well, i now know where NOT to go for my next vacation.kwa sisi wa Tanga na Mombasa hii jadi yetu etiiiii!!
Mkuu Erickb52, miaka hiyo ya 87, ndio nilikuwa nimebalehe na kama ujuavyo balehe huja na visa vyek, kwa kweli kama ningetumia akili ule utamblisho ulikuwa na ujumbe mahsusi kwmaba usimnyemelee mke wangu, lakini wapi, nilikuwa nawaza kwa kichwa cha chini..
anhaaaa kumbe ulitaka usiseme!bas bana shemeji sa si ungeniambia mapema nisiharibu hali ya hewa?na weee bana!Ulitaka niseme nilishughulikiwa..............?
Ushindwe kabisa mwana izaya.................LOL
Ulitaka niseme nilishughulikiwa..............?
Ushindwe kabisa mwana izaya.................LOL
Mmmh nahisi mtu kashughulikiwa hapa,anatwist mambo tu! :becky:
walikuwa wameshaivulia na mashati hahaahahahahahahahahahhaaaaDah kaazi kweli kweli...ana bahati mlango ulikua umefunguliwa...vinginevyo yangekua mengine aisee..
ati?unasema?
Hahahaaaa kweli uliwaza kwa kutumia kichwa cha chini lolMkuu Erickb52, miaka hiyo ya 87, ndio nilikuwa nimebalehe na kama ujuavyo balehe huja na visa vyek, kwa kweli kama ningetumia akili ule utamblisho ulikuwa na ujumbe mahsusi kwmaba usimnyemelee mke wangu, lakini wapi, nilikuwa nawaza kwa kichwa cha chini..
Lakini nashukuru nilimudu kukimbia ile dhahama maana hata nisingeweza kusimulia hapa...
Kwa babu DC Dark City sitokanyaga kwani yule mzee bado yupo na nahisi anaweza kuniona akanikumbuka....