Akawaambia, “Nawaachia mumshughulikie…..!”

Akawaambia, “Nawaachia mumshughulikie…..!”

Haha haaaaa Mtambuzi hii ni dawa tosha ya wotee wenye tabia ya kusarandia vya watu lol.

Papuchi za watu hizo zimegaramiwa..... usione vyaelea vimeundwa ohoooooooooo!
 
Last edited by a moderator:
kwanza pole yake, ila kwani akienda tanga leo huyo aliekua baba mwenye nyumba wake atamuona?aache uoga mtt wa kiume lkn angegegedwa hahaaaa!mke wa mtu choclate!
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,


Walau pressure imeshuka....kijasho kilishaanza kunitoka kwani nilijua udhu wa mzee mwenzangu ndo hivyo tena...ulishamiminwa siku nyingi...

Pole sana kaka....Naamini hiyo RB ilishafutwa...


Babu DC!!
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,


Walau pressure imeshuka....kijasho kilishaanza kunitoka kwani nilijua udhu wa mzee mwenzangu ndo hivyo tena...ulishamiminwa siku nyingi...

Pole sana kaka....Naamini hiyo RB ilishafutwa...


Babu DC!!
kaa vizuri na mzee mwenzio!kaa vizuri babu!
 
Mkuu Erickb52, miaka hiyo ya 87, ndio nilikuwa nimebalehe na kama ujuavyo balehe huja na visa vyek, kwa kweli kama ningetumia akili ule utamblisho ulikuwa na ujumbe mahsusi kwmaba usimnyemelee mke wangu, lakini wapi, nilikuwa nawaza kwa kichwa cha chini..
Lakini nashukuru nilimudu kukimbia ile dhahama maana hata nisingeweza kusimulia hapa...
Kwa babu DC Dark City sitokanyaga kwani yule mzee bado yupo na nahisi anaweza kuniona akanikumbuka....

Lakini si umesema yule alikuwa kibabu??

Yaani bado ana nguvu za kukushughulikia hadi sasa??

Labda kama anatumia yale maujanja ya pwani....hata paka wake anamsaidia...!!


Babu DC!!
 
Hahaaaaa... Mtambuzi una bahati sana mkuu! Walitaka KUKUBANDUA, wa Tanga nouma!
 
mlongo wangu taratibuuuuuuu.......
huyu shem Mtambuzi :shut-mouth:

Duuuuuuuuhhhh,

Umepotea sana mdogo wangu @FP,

Kulikoni??

Kama ningekuwa wa digitali, lazima ningesema kuwa, I missed u so much....ila sasa mwenzio mie ni analalogia na sijui haya maneno nayasemaje...

Karibu tena...

Babu DC!!
 
Mtambuzi, bahati yako ulikuwa Tanga....Ungekutana na wale wa miraba minne wenye uchu wa kula vya bure kwa kulipwa hata hii topic usingeandika kwani nafsi ingekusuta.
 
Hahahahaha, pole sana Mtambuzi maana inaonekana walikuwa wamekupania
 
mi nina uhakika ulichezea kichapo kabla ya kutoka nduki ila tu hutaki kusema.
 
Back
Top Bottom