"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

kawaida tu wakuu kjana anapiga show nyingi mno na mapato mengine toka coke n voda plus mauzo ya caller tunes....Na billion hakumaanisha hard cash ila ni net worth...Nakubaliana naye coz property yake ya tegeta tu ina worth more than 500m kwenye market....
 
Leo mchana kwenye kipindi cha TAKE ONE cha Clouds tv nimemuona na kumsikia Diamond platnumz akisema kwamba mwaka 2011 mwishoni akaunti yake ilikua na million 100, sikatai coz kweli dogo anafanya mziki kazi.

Akaendelea kusema...for the time being akaunti yake ina "more than billion"

Hivi huyu jamaa anafaham billion moja ni million ngapi? au ni matambo tu! Hebu
atokee mtu anishawishi manake nafsi yangu imekataa kbs kuamini...

Nilchosikia akisema ni kwamba ana mil 100 sasa sijui hio bil umeitolea wapi mzee
 
Hakuna asiyatambua jitihada za Diamond kwenye muziki, tunampongeza sana...thumbs up!

Hakuna mwenye chuki naye mkuu, unless kama umeusoma uzi wangu kinyumenyume...

Sijui kama nilikurenga wewe mi nazumzia wale wanamuita mara Domo ndi,mara dogo free mason,mara limbukeni na wewe kama upo kwenye mkumbo huu basi inakuhusu maana majungu ni sifa ya wakosa kazi
 
Lazma asema hivyo, ili awapange fresh!

Wakisikia hivyo kwa hulka zao za kupenda vya bure hata wasikie mama zao wa kuwazaa walikua wanatumika mchana, wao watakua wanapandwa jioni ya siku hiyo hiyo!!
 
dah hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa. kama kweli anacho afanye investment co kulipia gest daily. kijiti kina zamu hicho
Kweli umeongea ukwel mtupu mependa!
 
Huyu dogo inaonekana ana ubia na magazeti ya udaku. Bilioni kwa muziki gani hapa Bongo?
Labda kuna biashara nyingine zaidi ya muziki.
 
anaweza kuwa nayo kama anaweza pga show 2 kwa week na kila show yake si chini ya million 10 ina maana kwa mwezi anaingiza more than 40 mils kwa mwaka more than 400 mils kumbuka sometimes anapiga show za nje ambazo analipwa ela nyingi bado matangazo anayofanya, bado caller tune na kwa maelezo ya mkurugenzi wa push mobile kijana ndiye anayeingiza mpunga mwingi kupitia call tunes, sasa kwanini asiwe na more than a billion.
Mungu akikufungulia milango ya pesa zitamwagika mpaka ushangae.....................................
 
mbona ni kidogo mimi sio msanii napiga mishe za kawaida lakin mbona na ela hiyo,je diamond anayepiga show kila siku na matangazo awez kosa hizo ela,mzee chenge anasema hiyo ni vijisent tu
 
Huenda kweli bana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Anacheza na bilioni 1! Subiri akija kufulia kama Mr Nice tutamuuliza ziko wapi?!

hajui kama kwa hyo hela hata new york ama hollywood unaweza kumiliki nyumba ya heshima tu,fedha hyo sio ndogo kabisa,hata kama ni ka b1,aache kutafuta sifa,kama vp aweke bank statement atushawishi
 
Kwa mwaka mmoja akipata show kubwa 20 Kila show moja akadakishwa 50m mbona bilioni ipo .
 
Chenge aliposema ile bilioni mona na nusu aliyonayo kule kwenye account yake ya offshore ni vijisenti kuna watu hapa mliongea mkapa sauti ziliwakauka. Kiukweli alichomaanisha Mh. Chenge ni kuwa anashangaa hiyo hela kuvuta attention kubwa hiyo wakati ni hela ndogo sana, na yeye huwezi kumweka kama mmoja wa matajiri Tanzania kwa vijisenti hivyo.

Ingawa binafsi napinga watu kuwekeza nje ya nchi kwa sababu wanasaidia kuongeza ajira huko badala ya hapa nyumbani lakini hii haifanyi nimwome Chenge kuwa tajiri na hiyo bilioni moja au mbili.

Nawasihi vijana fanyeni kazi kwa bidii na ubunifu, especially jiingizeni kwenye biashara huku mkiwa na malengo pamoja na matumizi mazuri ya vipato vyenu. Hii pesa mtaishika tu bila shaka.

Binafsi nawajua vijana zaidi ya 70 wenye umri chini ya miaka 33 ambao wanafanya biashara pale kariakoo wenye ukwasi wa zaidi ya shilingi bilioni moja.

Amkeni vijana acheni kupiga soga na kuota ndoto, Diamond Platnumz awe chachu ya maendeleo yenu.

 
hajui kama kwa hyo hela hata new york ama hollywood unaweza kumiliki nyumba ya heshima tu,fedha hyo sio ndogo kabisa,hata kama ni ka b1,aache kutafuta sifa,kama vp aweke bank statement atushawishi

Mkuu with all respect to you, unajua maana ya net worth?
 
Kwa mwaka mmoja akipata show kubwa 20 Kila show moja akadakishwa 50m mbona bilioni ipo .
Jinga wewe, halafu atakula makalio yako? mafuta ya gari na service utamfanyia wewe? shopping utamfanyia wewe? Dancers wake utawalipa wewe au utawapa dada yako wamgegede? mijitu mingine humu hasara tupu mnashindwa hata kufikiri vitu rahisi.
 
Jinga wewe, halafu atakula makalio yako? mafuta ya gari na service utamfanyia wewe? shopping utamfanyia wewe? Dancers wake utawalipa wewe au utawapa dada yako wamgegede? mijitu mingine humu hasara tupu mnashindwa hata kufikiri vitu rahisi.
Nashukuru kwa kuniweka wazi kuwa mimi ni mjinga . Kwa ujinga wangu sikuandika show kubwa 30 Kwa mwaka mmoja,pia sikuandika show ndogo ndogo za 3m-10m ataazo fanya ndani ya mwaka huo huo . Kwa ujinga wangu nimetoa tu mfano ambao unaweza kuwa halisi ama sio halisi kulingana na uwerevu wa watu kama wewe . Ujinga wangu ndio ulioniponza nikaandika ujinga ,NIWIE RADHI MWEREVU
 
Kwa nani? Ndo swali, kama ndo hivyo kesho mtaniona jukwaani nimevaa skin jeans, no way

Kweli haina jinsi kama kukata mauno unaingiza 1 billion haina budi na wewe ujaribu aisee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom