"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

Leo mchana kwenye kipindi cha TAKE ONE cha Clouds tv nimemuona na kumsikia Diamond platnumz akisema kwamba mwaka 2011 mwishoni akaunti yake ilikua na million 100, sikatai coz kweli dogo anafanya mziki kazi.

Akaendelea kusema...for the time being akaunti yake ina "more than billion"

Hivi huyu jamaa anafaham billion moja ni million ngapi? au ni matambo tu! Hebu atokee mtu anishawishi manake nafsi yangu imekataa kbs kuamini...

Auze Mali zake zote akasaidie masikini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom