Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,548
Mkuu hivi ni ya mbavu za mbwa kweli? Mbona naskia ni nyumba ya Tsh 260 millioni?Azinyee wapi?yani more than a billion alafu anamjengea mamake nyumba ya mbavu za mbwa???????????

Hii topic imeonesha lack of financial exposure ya watu wengi sana hapa JF. Inashangaza kusoma comment za watu hapa wakiona shilingi bilioni moja ya Tanzania kuwa ni hela kuuuubwa sana.
Nimecheka mmoja amediriki kusema eti kuwa na bilioni moja hapa bongo unakuwa mmoja wa tycoon!
Ndugu zangu bilioni moja ya kibongo sio hela ndefu kiivyo. Watu wengi tu hapa Dar wana ukwasi wa kiwango hicho na wengine wanaendesha corolla kama kawa.
Angalia bei za apartments/nyumba/viwanja na mashamba hapa Dar ndo utajua kuwa shilingi yetu haina thamani na hiyo kufanya shilingi bilioni moja kuwa pesa ya kawaida sana.
Vijumba vya national housing vyenyewe vinauzwa mpaka mil 200 tena kwenye high density areas, Kweli mnaona sh. bilioni moja ni kubwa?
Sijaona hiyo interview ya Diamond so siwezi jua kama alisema ana cash bank au utajiri wake kwa ujumla. Lakini hapana shaka his net worth is at least over a bilioni shillings.
Alitoa project zake za nyumba sita anazijenga, baadhi kwenye prime areas kama kinondoni, Pili kamaliza kumjengea mama yake nyumba ya sh mil 260 kimara n.k. So siwezi shangaa akisema utajiri wake ni bilioni au zaidi.
Source zake za mapato ni verifiable, show anazifanya (anasema analipwa tsh 10 mil kwa show moja), ana sponsorship deals na Voda, Cocacola n.k, mapato ya ring tones tumeambiwa kwa wasanii wa bongo flava yeye ndo anaongoza kwa kuingiza mkwanja mrefu zaidi. Ruge alisema kaingiza zaidi ya mil 27 kutoka push mobile na kampuni nyingine aliingiza mil 24 katika miezi mitatu iliyoishia March mwaka huu.
Na amefanya show back to back for over three years, msisahau pia kuwa Diamond ni msanii wa kwanza kufanya show ya peke yake kwa kiingilio cha elfu 50 na ticket zote kuisha mpaka kuomba ziongezwe zingine.
So kwa madafu yetu haya, sishangai bwana mdogo kuwa na ukwasi huo. In fact, ningeshangaa sana angesema mpaka sasa hajafikisha utajiri huo.
Juzi juzi tu hapa amekula zaidi ya 20m kwenye Ring Tones pekee kwa kipindi cha miezi mitatu! So, aki-maintain hicho kiwango, kwa mwaka ana kama 80m; just from ringtones! Beside ringtones, dogo anapiga sana show ! Almost every week anapiga show! So, kibongo bongo tu, tukiacha zile za nje ya nchi, kwa mwezi anapiga si chini ya 20m, so kwa mwaka, hakosi 250m. Ukichanganya na ringtones....anadaka karibu 350m! Akichanganya na show za nje ya nchi...unaweza kuta kwa mwaka ana-make karibu 500m....ukichanganya na kamia kake ka 2011, unakuta by the end of 2012 amedaka angalau 600m. Na tukichukua za miezi 5 iliyopita, angalau 100m....ukijumlisha kwenye 600 yake; unakuta kama 700m! So, cha ajabu nini hapo akisema kwamba ana zaidi ya bilioni moja? Hapo cjazungumzia dili za matangazo ya hapa na pale!
Tatizo lenu mnalinganisha mnavyopata taabu kupata japo mkopo wa 20m huku mkiwa na madigrii ya Upper Second za sifa, za Four point nini sijui....basi mnazani hadi kwenye informal life kila kitu sharti kwa msuli!
Kweli haina jinsi kama kukata mauno unaingiza 1 billion haina budi na wewe ujaribu aisee...
Ni million 100 mkuu acha upotoshaji au masikio yako yana kengeza?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

anaweza kuwa nayo kama anaweza pga show 2 kwa week na kila show yake si chini ya million 10 ina maana kwa mwezi anaingiza more than 40 mils kwa mwaka more than 400 mils kumbuka sometimes anapiga show za nje ambazo analipwa ela nyingi bado matangazo anayofanya, bado caller tune na kwa maelezo ya mkurugenzi wa push mobile kijana ndiye anayeingiza mpunga mwingi kupitia call tunes, sasa kwanini asiwe na more than a billion.
Mungu akikufungulia milango ya pesa zitamwagika mpaka ushangae.....................................
Kwa mwaka mmoja akipata show kubwa 20 Kila show moja akadakishwa 50m mbona bilioni ipo .
Kweli aisee ila ikifika pale pa kuvua suruali na kuonyesha makalio ndo patakuwa pagumu... inawezekana ndo inapoingilia hiyo 1 bil.
Juzi juzi tu hapa amekula zaidi ya 20m kwenye Ring Tones pekee kwa kipindi cha miezi mitatu! So, aki-maintain hicho kiwango, kwa mwaka ana kama 80m; just from ringtones! Beside ringtones, dogo anapiga sana show ! Almost every week anapiga show! So, kibongo bongo tu, tukiacha zile za nje ya nchi, kwa mwezi anapiga si chini ya 20m, so kwa mwaka, hakosi 250m. Ukichanganya na ringtones....anadaka karibu 350m! Akichanganya na show za nje ya nchi...unaweza kuta kwa mwaka ana-make karibu 500m....ukichanganya na kamia kake ka 2011, unakuta by the end of 2012 amedaka angalau 600m. Na tukichukua za miezi 5 iliyopita, angalau 100m....ukijumlisha kwenye 600 yake; unakuta kama 700m! So, cha ajabu nini hapo akisema kwamba ana zaidi ya bilioni moja? Hapo cjazungumzia dili za matangazo ya hapa na pale!
Tatizo lenu mnalinganisha mnavyopata taabu kupata japo mkopo wa 20m huku mkiwa na madigrii ya Upper Second za sifa, za Four point nini sijui....basi mnazani hadi kwenye informal life kila kitu sharti kwa msuli!
ungejua tofauti ya Saving na Revenue ungerekebisha Comment yako!! Saving =Revenue-Expenditure[/QUO]
yani kuna watu wanakurupuka humu, sijui ndiyo products za hii standardization ya kina Kawambwa?
hajui kama kwa hyo hela hata new york ama hollywood unaweza kumiliki nyumba ya heshima tu,fedha hyo sio ndogo kabisa,hata kama ni ka b1,aache kutafuta sifa,kama vp aweke bank statement atushawishi